Poleni sana na msiba wa Kibonde.
Najaribu kuwaza, Kibonde ni MC wa masherehe mbali mbali. Kuna wakati tulitaka kumbook tukakuta imekuwa full booked kwa jumamosi za takribani miezi minne mbele...
Kupitia siku hii ya wanawake duniani napenda kuwapongeza wanawake woot kwa :-
UVUMILIVU WAO PALE WANAPO KUWA KATIKA WAKATI MGUMU
1.KU TELEKEZEWA FAMILIA
2.KUHAKIKISHA FAMILIA INAPATA MAHITAJI...
Kamanda wa Polisi Kituo cha Polisi Mlandizi tunaomba ufuatilie kwa ukaribu hapa Mlandizi kuna kijana ameoa na anaishi na mke wake
Wanandoa hawa ni wenyeji wa mkoa wa Mara kutoka wilaya ya...
Katika hali isiyokuwa ya kawaida kabisa imegundulika rasmi kuwa Mikoa inayoongoza kwa Kuchafua Pesa za Noti hasa zile za Tsh 10,000/= nchini Tanzania ni Mikoa ya Kigoma kwa Waha na Kagera kwa...
Habari wakuu,
Hii ninkawaida pale mama anapocheuliwa na mtoto anaenyonya basi ziwa huwa lina vimba na kuambatana na maumivu makali.
Kwa kuwa leo ni siku ya wanawake duniani basi tunaomba watu...
Wakuu habari za jioni. Naomba mods msiunganishe uzi huu na nyuzi nyingine kwani huu ni special kabisaa
JINSI YA KUFANYA UCHAPISHAJI BINAFSI (SELF PULBISHING)
UTANGULIZI
Ni...
Moshi. Raia wa Liberia, Grace Teta mwenye umri wa miaka 40, maisha yake yamehamia gerezani atakakokutumikia kifungo kwa uhai wake wote.
Grace, aliyehukumiwa kifungo hicho jana katika Mahakama Kuu...
Anayejua kuendesha gari na anayo gari au kukodi ,anaweza kufundisha mtu ndani ya wiki moja hadi mbili akajua kuendesha gari.
Anitafute inbox
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa wanaojua sheria ya serviceroad tuelezeni
Kuna mambo ya ajabu sana yanaendelea hapa Kimara Bucha ikifika jioni
Trafik anajificha kwenye vibanda vya matunda hapa akisubiri gari kutoka Baruti...
_Na Masondore Masondore, Canada_
Katika gazeti la Tanzania Daima toleo la Jumatano Machi 6, 2019, ambalo sasa naliona limeamua kugeuka kuwa kikaragosi cha Tundu Lissu kuandika kila aina ya utumbo...
Mwanafunzi mmoja Bimwana Swalehe (12) wa darasa la pili katika shule ya msingi Makoteni, wilaya ya Tunduru mkoani Ruvuma, amefariki baada ya kuliwa na mamba katika mto Ligoma ambako alikua akifua...
Leo jaji Rumanyika wa mahakama ya rufaa, katuletea furaha ama katupa zawadi ya furaha. watanzania wote, wapenda haki, uhuru na umoja bila kusahau uwajibikaji. kwa kuwaachia huru ndugu zetu...
Katiba yetu chini ya ibara ya 30 imeweka ukomo na uzibitiji wa uvunjifu wa haki za binadamu toka kwa mtu mmoja kwenda kwa mwingine, na hii inatoa tafsiri iliyo nyooka kama watu watakua wanaitumia...
1. Acheni kudanga hii ni kwa wanawake wadangaji tu.
2. Punguzeni mizinga mnatukera sana wanaume
3. Imalisheni ndoa zenu mahouse girl wanawafanyia sana kazi zenu
4. Katika kuutafuta usawa changieni...
Let's be serious a little bit huyu kijana kutoka ghana ambaye ameamua kutembelea nchi mbalimbali za Africa kufahamu utajiri wa nchi mila, tamaduni, miundombinu na kila kitu.
The boy is so...
NIMEUMIA TBC KUMSINGIZIA UKIMWI OLIVER MTUKUDZI
YAMEKUWA masiku ya kutafakari, kuenzi na kusherehekea maisha ya galacha wa AfroJazz, Oliver Mtukudzi 'Tuku'. Nani wa kuja duniani na adumu dawamu...
Nitashukuru kama na Watu wengine pia mkiwa na muda na uwezo huo basi fanyeni tu nanyi huu Utafiti mdogo kwa kupita juu Daraja la Manzese kisha nendeni na lilipo Daraja jipya la Kawe Bondeni nina...
Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam limewaua majambazi watano na kufanikiwa kuwakamata watuhumiwa wanne, kukamata silaha nne na risasi 59 katika matukio matatu tofauti.
Marchi 3 mwaka...
Wahenga walisema tembea uone, kweli nimejionea mwenyewe
Wiki iliyopita nilipita wilayani kibondo nilikua naelekea kigoma ujiji kwa shughuli zangu binafsi nilikua kibondo kwa siku NNE lakini...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.