MAAJABU: Mtoto mdogo afufuliwa Moshi, akutwa na ulimi mrefu, Mama azungumza

RtsHjcq

JF-Expert Member
Aug 19, 2017
4,753
5,505
Leo March 7, 2019 Kijana Daniel Jackson aliyefariki December 2018 amedaiwa kufufuliwa na mtaalamu wa tiba za jadi huku ikielezwa kwamba alichukuliwa ‘msukule’ ambapo Mama yake mzazi amesema alifariki katika mazingira ya kutatanisha huku akisema sasa hivi anaweza kuzungumza na atampeleka shule.

Source: Millard Ayo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mbona hata mganga haulizwi techinical questions?
Wapi death certificate?
Kibali cha mazishi?
Hatuamini hadi tuone official certificates

Back
Top Bottom