Hali ya hewa hii imekaaje! dar es salaam 24°c mbeya 25°c?

Hismastersvoice

JF-Expert Member
Jan 26, 2013
19,224
23,015
Utabiri wa hali ya hewa siku ya leo inaonesha kiwango cha joto Dar es Salaam kiko chini kuliko maeneo mengi nchini 24°C, je, hii iko sahihi?
Chanzo Channel Ten TV.
 
Hii 24 ni upande gani wa Dar maana joto nalolihisi mimi hili bila shaka sio chini ya 28.
 
Kawaambie hao Channel 10 wanitafute, niwapatie weather forecast ya kila siku kutoka kwenye Galaxy yangu.
 
Attachments

  • Screenshot_20190306-210321.png
    Screenshot_20190306-210321.png
    57.5 KB · Views: 16
👇
 
Attachments

  • Screenshot_20190306-211238~2.png
    Screenshot_20190306-211238~2.png
    91.7 KB · Views: 17
Back
Top Bottom