Kibonde wa Jahazi-Clouds anaboa

Kibonde wa Jahazi-Clouds anaboa

Malingumu

JF-Expert Member
Joined
Apr 5, 2012
Posts
616
Reaction score
433
Habarini,

Mi ni msikilizaji wa Clouds Redio kwa baadhi ya vipindi kikiwemo kipindi cha JAHAZI kinachoanza jioni majira ya saa kumi mpaka moja jioni.

Katika kipindi hiki E. Kibonde ni mmoja wa watangazaji wa kipindi hicho.
Mara kwa mara huyu jamaa amekuwa akileta stori sana za mapenzi.

Yani amekuwa akiongea mambo mengi yenye maudhui ya mapenzi na imekuwa kawaida yake sana, nafikiri wale watangazaji wenzake huwa wanakuwa karibu na 'kitufe' cha kuruhusu tangazo liende hewani maana wakati mwingine huwa wanamkatiza kabla ya kumaliza stori zake hizo ambazo anaona zinafaa.

Nimemfatilia sana kwa vipindi kadhaa na nimegundua kuwa yupo hivyo. Yani wakati mwingine hata kama stori wanayoongelea haihusiani kabisa na mapenzi yeye ataileta ataivuta mpaka tu ije kumalizika kwa kitendo cha mapenzi.

Kipindi hiki si cha majira ya usiku hivyo huweza kusikilizwa na kila rika maana ile siyo bia kusema hairuhusiwi kwa walio chini ya umri wa miaka 18, hivyo hata walio wadogo husikiliza.

USHAURI WANGU:
Kama mmoja wa wadau wa kipindi chao cha JAHAZI nashauri aache hiyo tabia, na kama anapenda sana hizo stori basi aombe wampangie kipindi cha usiku na Diva wakaongelee huko usiku.

OVER.

Sent from my SM-J110H using JamiiForums mobile app
 
Habarini..

mi ni msikilizaji wa Clouds Redio kwa baadhi ya vipindi kikiwemo kipindi cha JAHAZI kinachoanza jioni majira ya saa kumi mpaka moja jioni.

Katika kipindi hiki E.Kibonde ni mmoja wa watangazaji wa kipindi hicho.
Mara kwa mara huyu jamaa amekuwa akileta stori sana za mapenzi. Yani amekuwa akiongea mambo mengi yenye maudhui ya mapenzi. na imekuwa kawaida yake sana, nafikiri wale watangazaji wenzake huwa wanakuwa karibu na 'kitufe' cha kuruhusu tangazo liende hewani maana wakati mwingine huwa wanamkatiza kabla ya kumaliza stori zake hizo ambazo anaona zinafaa.
Nimemfatilia sana kwa vipindi kadhaa na nimegundua kuwa yupo hivyo. Yani wakati mwingine hata kama stori wanayoongelea haihusiani kabisa na mapenzi yeye ataileta ataivuta mpaka tu ije kumalizika kwa kitendo cha mapenzi.
.
Kipindi hiki si cha majira ya usiku hivyo huweza kusikilizwa na kila rika maana ile siyo bia kusema hairuhusiwi kwa walio chini ya umri wa miaka 18,hivyo hata walio wadogo husikiliza.

Kibonde ni mtangazaji mahiri na kipindi cha mastori ya town bila yeye kina pwaya sana hata asipokuwepo wewe weka channel ya dini hicho ni kipindi cha wote

Sent from my SM-A310F using JamiiForums mobile app
 
Habarini..

mi ni msikilizaji wa Clouds Redio kwa baadhi ya vipindi kikiwemo kipindi cha JAHAZI kinachoanza jioni majira ya saa kumi mpaka moja jioni.

Katika kipindi hiki E.Kibonde ni mmoja wa watangazaji wa kipindi hicho.
Mara kwa mara huyu jamaa amekuwa akileta stori sana za mapenzi. Yani amekuwa akiongea mambo mengi yenye maudhui ya mapenzi. na imekuwa kawaida yake sana, nafikiri wale watangazaji wenzake huwa wanakuwa karibu na 'kitufe' cha kuruhusu tangazo liende hewani maana wakati mwingine huwa wanamkatiza kabla ya kumaliza stori zake hizo ambazo anaona zinafaa.
Nimemfatilia sana kwa vipindi kadhaa na nimegundua kuwa yupo hivyo. Yani wakati mwingine hata kama stori wanayoongelea haihusiani kabisa na mapenzi yeye ataileta ataivuta mpaka tu ije kumalizika kwa kitendo cha mapenzi.
.
Kipindi hiki si cha majira ya usiku hivyo huweza kusikilizwa na kila rika maana ile siyo bia kusema hairuhusiwi kwa walio chini ya umri wa miaka 18,hivyo hata walio wadogo husikiliza.

USHAURI WANGU:
Kama mmoja wa wadau wa kipindi chao cha JAHAZI nashauri aache hiyo tabia, na kama anapenda sana hizo stori basi aombe wampangie kipindi cha usiku na Diva wakaongelee huko usiku.

OVER.

Sent from my SM-J110H using JamiiForums mobile app

usikute Kibonde ni mtaalam wa kuangalia pilau (sinem za X) na bila haibu au kukosa staha anawasimuliza wasikilizaji kile alichokiona. Jamaa hajakuwa kiakili bado, ana mambo ya kitoto sana la kwa Clouds ni kawaida kuwa na watagazaji kama yeye.
 
Ningewashaurini tu kuwa achaneni nae na msipoteze muda kwani humu JF ' threads ' za kumsema Mtangazaji Ephraim Kibonde nadhani ni nyingi mno lakini pamoja na ' Kunangwa ' kote huko bado ' Jamaa ' ni sikio la kufa lisilosikia dawa na kibaya zaidi kwetu Sisi tunaomsema kila kukicha tupo zetu hapa hapa ' Bongo ' tuki ' hustle ' wakati Yeye mwenzetu kila ' Weekend ' lazima akwee Pipa / Mbung'o / Ndege kwenda ' Jozy ' Johannesburg Afrika ya Kusini kutangaza mechi za Super Sports Swahili na pia ameshaingia ' Mkataba ' mnono mno na Watu wa NHC na bado pia ni Mtangazaji ' Mwandamizi ' Clouds Media Group na usisahau kuwa ni MC mmoja mkubwa mno hapa Tanzania bila kusahau pia kuwa ni Dj mzuri sana.

Na sisi badala ya ' Kumnanga ' kila kukicha humu JF basi ningeomba tu na sisi tujitahidi ' Kuwajibika ' ili angalau basi tuweze kufikia hata robo tatu ya mafanikio yake.
 
Haibu-Aibu
Anawasimuliza-Anawasimulia
Watagazaji-Watangazaji

Hivi huko shule mlienda kusomea ujinga?
 
kwani hujui mtanga sifa yake nini?
 
Radio kibao sana mji huu.Kama umekerwa huku hamia kule.Acha kujipa stress za ajabu mkuu
Swala siyo kujipa stress,yeye atahamia kule,na watoto wake je? point ni kwamba kipindi kinarushwa mchana lakini watangazaji wanarusha mpaka "story za usiku" ,wakati huu wa mchana hata watoto ambao bado hawajajitambua nao wapo hewani hivyo ni rahisi kuwapoteza.
Binafsii namuelewa sana mtoa post kwani amemaanisha kutokuwa selfish,ndivyo tunavyotakiwa kuwa,unapoona jambo linaloweza kupotosha jamii(hasa watoto) ni vizuri kulikabili kuliko kujijali mwenyewe.
 
Habarini..

mi ni msikilizaji wa Clouds Redio kwa baadhi ya vipindi kikiwemo kipindi cha JAHAZI kinachoanza jioni majira ya saa kumi mpaka moja jioni.

Katika kipindi hiki E.Kibonde ni mmoja wa watangazaji wa kipindi hicho.
Mara kwa mara huyu jamaa amekuwa akileta stori sana za mapenzi. Yani amekuwa akiongea mambo mengi yenye maudhui ya mapenzi. na imekuwa kawaida yake sana, nafikiri wale watangazaji wenzake huwa wanakuwa karibu na 'kitufe' cha kuruhusu tangazo liende hewani maana wakati mwingine huwa wanamkatiza kabla ya kumaliza stori zake hizo ambazo anaona zinafaa.
Nimemfatilia sana kwa vipindi kadhaa na nimegundua kuwa yupo hivyo. Yani wakati mwingine hata kama stori wanayoongelea haihusiani kabisa na mapenzi yeye ataileta ataivuta mpaka tu ije kumalizika kwa kitendo cha mapenzi.
.
Kipindi hiki si cha majira ya usiku hivyo huweza kusikilizwa na kila rika maana ile siyo bia kusema hairuhusiwi kwa walio chini ya umri wa miaka 18,hivyo hata walio wadogo husikiliza.

USHAURI WANGU:
Kama mmoja wa wadau wa kipindi chao cha JAHAZI nashauri aache hiyo tabia, na kama anapenda sana hizo stori basi aombe wampangie kipindi cha usiku na Diva wakaongelee huko usiku.

OVER.

Sent from my SM-J110H using JamiiForums mobile app

Nadhani unamzungumzia KISHOMO na sio KIBONDE, Na utakuwa hupendi Beer wewe
 
Ningewashaurini tu kuwa achaneni nae na msipoteze muda kwani humu JF ' threads ' za kumsema Mtangazaji Ephraim Kibonde nadhani ni nyingi mno lakini pamoja na ' Kunangwa ' kote huko bado ' Jamaa ' ni sikio la kufa lisilosikia dawa na kibaya zaidi kwetu Sisi tunaomsema kila kukicha tupo zetu hapa hapa ' Bongo ' tuki ' hustle ' wakati Yeye mwenzetu kila ' Weekend ' lazima akwee Pipa / Mbung'o / Ndege kwenda ' Jozy ' Johannesburg Afrika ya Kusini kutangaza mechi za Super Sports Swahili na pia ameshaingia ' Mkataba ' mnono mno na Watu wa NHC na bado pia ni Mtangazaji ' Mwandamizi ' Clouds Media Group na usisahau kuwa ni MC mmoja mkubwa mno hapa Tanzania bila kusahau pia kuwa ni Dj mzuri sana.

Na sisi badala ya ' Kumnanga ' kila kukicha humu JF basi ningeomba tu na sisi tujitahidi ' Kuwajibika ' ili angalau basi tuweze kufikia hata robo tatu ya mafanikio yake.

Huo mpira akatangazie wapi wakati hata hapo clouds hajawahi kuitwa kwa kipindi cha michezo cha sports extra, NHC walishamaliza kazi yao.
 
Back
Top Bottom