srinavas
JF-Expert Member
- Jun 5, 2011
- 4,149
- 3,862
Nipo hapa nasikiza hiki kipindi cha Jahazi.
Namsikia huyu mzee Ephraim Kibonde anasema kuwa "Rais wa africa ambaye yuko madarakani akigombea urais akaukosa atakuwa ni mpumbavu sana"
Ameenda mbali zaidi na kusema kuwa Africa hakuna tume huru ya uchaguzi kwa hiyo kushinda ni lazima maana wewe kama rais uliye madarakani ndio organizer mkuu wa huo uchaguzi sasa iweje ushindwe??
My Take:
Je kada huyu wa CCM anamaanisha nini au anatoa ujumbe gani kwa chaguzi za hapa tanzania?? Je kwa maana hiyo hata hapa ni wizi mtupu??
Mimi namuomba aombe radhi nchi za africa maana kuna nchi za africa zenye democrasia na tume huru kwa mfano Tanzania na Zanzibar.
Ni hayo tu.
Jioni njema jaman.