hivi huyu kibonde anaishi dunia ipi, nimetamani kuizima radio yangu kutokana na maneno yake ya kipuuzi. Anadai eti kugoma kwao madaktari ni utovu wa nidhamu kwa waziri mkuu mpaka wenzake akina Mwabulambo na Kayanda wanamshangaa
nilifikili labda ulienda kunywa soda sehemu, daladala au gari ya jamaa yako, kumbe radio yako mwenyewe!?
Sisi tuko huku mbali lakini nasikia watu wengi ninaoongeaga nao huwa wanatwambia kuwa walishaachaga muda mrefu kuisikiliza na hasa kipindi cha huyo jamaa unayemsema.
Kwana huyo jamaa (Kibonde) fani yake ni nini mpaka awaseme madakatari, ni engineer au naye kasomea udaktari kabla ya kuwa mtangazaji!???
hivi huyu kibonde anaishi dunia ipi, nimetamani kuizima radio yangu kutokana na maneno yake ya kipuuzi. Anadai eti kugoma kwao madaktari ni utovu wa nidhamu kwa waziri mkuu mpaka wenzake akina Mwabulambo na Kayanda wanamshangaa
hivi huyu kibonde anaishi dunia ipi, nimetamani kuizima radio yangu kutokana na maneno yake ya kipuuzi. Anadai eti kugoma kwao madaktari ni utovu wa nidhamu kwa waziri mkuu mpaka wenzake akina Mwabulambo na Kayanda wanamshangaa
Ngoja upate ajali uende pale muhimbili ndio utajua kibonde anaishi dunia gani?
Hivi ukimfumania mkewako utam kill yeye tu Au utaua na Watoto pia?
Watafute Njia nzuri yakupata nyongeza na sio kuathiri maisha ya watu wengine.
Siyo kwamba tunaisikiliza tunakutana nayo wakati wakutafuta station za maana