Waziri wa Afya, Ummy Mwalimu kupitia ukurasa wake wa Twitter ameeleza yafuatayo kufuatia kifo cha Mwanafunzi kinachodaiwa kutokana na kipigo kutoka kwa Mwalimu
NUKUU:
Nimepokea kwa masikitiko...
Nimepita hapo Kuna mtu anapigwa hapo vibaya sana, naomba muende kabla hawajamuua maana inawezekana hata hajaiba, msiseme sikuwaambia. Ni hapo karibu na mji mwema.
Rasmi nimeamua kuunga mkono ile kauli mbiu ya rudi nyumbani, kumenoga. Rasmi nahamia TTCL. Mnachotufanyia Vodacom na mitandao mingine ya mawasiliano hapa nchini sio kabisa.
Kwa muda mrefu...
hello JF,
I am not good in writing nadhani mshaninote..lo
Nimeamua Becky nijiunge shule ya Memkwa jioni,nijipige msasa… :p:cool:
Course ni Community Development...
Hii course haina...
Tafrani imeibuka katika kijiji cha Ngeze wilayani hapa baada ya watu wanaodaiwa kuwa na hasira kumuua Mzee Dimon Senyagwa (85) kwa kumshambulia kwa mawe na silaha nyingine za jadi wakimtuhumu...
Haya maji ya kandoro kuna kipindi yalipotea kabisa maeneo ya kariakoo lakini kwa sasa yamerudi kwa kasi
Na kwa kuwa wauzaji wapo wengi ina maana na soko lake pia ni kubwa
Na sasa hivi kidogo...
Ni jambo la kawaida tuliokulia maeneo ya Tanzania kuelezwa kwamba mchawi ana uwezo wa kutoonekana. Kweli!
katika hali isiyo kuwa ya kawaida, kijana wangu wa miaka 16 alijikuta akipiga kelele...
*KWA HILI MABALOZI WAJITAFAKARI*.
Katika hali isiyokuwa ya kawaida Mabalozi wanaoziwakilisha nchi za *Uingireza, Denmark, Ujerumani, Uholanzi, Italy, Sweden, Ubelgiji na Norway* nchini *Tanzania*...
Tumeanza safari yetu ndefu na muhimu sana ya mfungo wa siku arobaini (mfungo wa Kwaresma), tunayoianza siku ya Jumatano ya majivu (leo).
Katika kipindi hiki cha siku 40, mama Kanisa anatualika...
Kampuni ya Gee General Ltd inayojihusisha na ununuzi na uuzaji wa kahawa ni miongoni mwa Kampuni sita zinazochunguzwa na Taasisi ya Kuzuia na Kupamba na Rushwa nchini(Takukuru) ikihusishwa na...
Nimekuwepo siku mbili, nimepamaliza pote kupafahamu kwa kutumia baiskeli tu!
Ila barabara kutokea tunduma ya ukweli balaa(international)
=======
In late 2000's nilipata kuishi Sumbawanga...
Habari ndugu mpambanaji?
Pole sana na majukumu ya kila leo ya kutimiza ndoto zako. Hakika mungu yu pamoja nawe, matunda ya juhudi zako yataonekana, we endelea kusonga mbele.
Katika makala yangu...
Wanaobadilisha pesa za kigeni nchi hii hawalipi "commission" kama zilivyo nchi nyingi duniani. Nashauri TRA na BoT wawabane wenye Bureau De Change "maduka ya kubadilishia pesa za kigeni "forex"...
Haya maji ya kandoro kuna kipindi yalipotea kabisa maeneo ya kariakoo lakini kwa sasa yamerudi kwa kasi
Na kwa kuwa wauzaji wapo wengi ina maana na soko lake pia ni kubwa
Na sasa hivi kidogo...
Sifa kede wa kede zimeibuka za kumsifu huyu bwana baada ya kifo chake, je nikwel sifa hizi anastahiri?
Mi naamini na kukubali kuwa ni kwel anastahiri maana waswahili wanasema "kibaya chajitembeza...
Na Mwandishi wetu Mihambwe
Hatimaye mradi wa ujenzi wa nyumba ya Mwalimu uliosimama tangu Mwaka jana 2018 umeanza tena kujengwa.
Ujenzi huo wa nyumba ya Mwalimu Shule ya Msingi Ngongo iliyopo...
MTOTO mkubwa wa aliyekuwa Mkurugenzi wa Vipindi na Uzalishaji wa Clouds Media Group (CMG), marehemu Rugemalira Mutahaba maarufu Ruge, Mwachi Ruge, amemwombea msamaha baba yake kwa watu ambao...
Mwezi uliopita kampuni ya uzalishaji ndege yenye makao yake makuu france airbus, ilitangaza kuwa ifikapo mwaka 2021 itasitisha rasmi uzalishaji wa ndege zake kubwa za A380, walisema kwa masikitiko...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.