Huyu Kibonde anadai Rais ni kama ameingilia mhimili mwingine ( Bunge) kwa kumfukuza Charles Kitwanga. Anahoji... je, kuna barua au maandishi toka mamlaka ya bunge kwenda kwa Rais ikalamika kuhusu Waziri kulewa?
Anaendelea kusisitiza kunywa pombe sio tatizo kama unatimiza wajibu wako vizuri. Nijibu tu kwa ufupi Rais kumfukuza kazi mteule wake hawezi subiri mpaka mamlaka nyingine ilalamikie au imwandikie barua.
Pia Ndugu Kibonde kumbuka Waziri Mkuu alikuwemo bungeni (tenaViti vya mbele kabisa) Waziri Mkuu ana uwezo wa kumweleza Rais jambo lolote na Rais akachukua hatua.
Hoja ya kwamba suala la ulevi kutokuwepo kwenye sheria/taratibu za bunge halina mashiko.