Ujenzi wa barabara unaondelea (kimara - Kibaha) Mkandarasi anajenga kambi yake ya vifaa vya ujenzi na ofisi ndani ya eneo la barabara. Ikumbuke jengo linalojengwa ni sehemu ya fedha za ujenzi wa...
Kanisa la KKKT halitakuwa salama kama litaendelea kuwavumilia viongozi wa kanisa na watendaji ambao wanatuhuma zisizovumilika ambazo haziendi sambamba na taratibu za Mungu . Moja ya viongozi wa...
Hii itaendelea kuwa dhana milele
1.ni wanawake wachache sana watadumu na ndoa zako km wakipa fursa ya 40+,italeta inferiority to men na vurugu uanzia hapo
2.mwanamke ni pambo la nyumba hatakiwi...
MAMLAKA ya Hifadhi ya Ngorongoro (NCAA) imetenga Sh bilioni 11 kwa ajili ya ujenzi wa barabara ya Loduare hadi Golini kwa kiwango cha lami, yenye urefu wa kilometa 88 katika eneo la kushukia bonde...
Niombi langu kwa Azam tv kwamba sisi wateja wenu tunaomba mechi za ligi zitakazo husisha Azam fc. Simba fc na Yanga fc ziwe zinaonyeshwa kwenye chanel ya " Azam Sport HD" Kulingana na hadhi ya...
Habarini wana jukwaa
Nilikuwa na swali
Nilipeleka nyaraka muhimu pale NIDA Ili niweze kupata kitambulisho na nipeleke uhamiaji kwa kupata hati ya kusafiria
Lakini naona nachelewa Sana kupata...
Uchawi una aina mbili kuna mweusi ndo huo wa kumkufuru mungu na kutumia majini ,na kuna aina hii nayoenda kuwafundisha inaitwa uchawi mweupe hutumiwa sana na wakinga na wasukuma ,huu hauhisishi...
Alizaliwa katika familia ya Waluba huko Baudouinville (sasa Moba) karibu na Albertville (Kalemie) kando la Ziwa Tanganyika. Alisoma huko Ujerumani ya Mashariki na Paris akarudi Kongo baada ya...
Naomba ufafanuzi coz Mh Makonda anafanya mambo makubwa sana
Mfano Leo katoa ahadi kedekede na amesema yatafanywa chini yake.
Sasa,najiuliza RC dar ana OC nyingi,au mshahara wake mkubwa...
Kwa sasa Jijini Dar es Salaam sijaona eneo ambalo kila mara lina Makongamano ya Kidini na Maombi kama Kawe ( Tanganyika Packers ) ila kama kuna eneo ambalo lina Maasi mengi na mambo mengi ya ajabu...
Wakuu, nimeulizia kiwango cha kuchangia bima NHIF kwa mwaka eti ni milioni 1.6, dah
Sasa nikajiuliza kuliko nilipie hii bima si afadhali nijitibu tu mwenyewe kwa cash nikiugua?
Maana nikipiga...
Wakati wa msiba wa Ruge hatukupata kusikia matangazo mengi na muda mwingi, kama sio muda wote, ilikuw ni majonzi kwa nyimbo nyingi sana za maombolezo, story za marehemu na muda wote walikuwa...
Unapewa namba kumuona afisa unasubiri kuanzia asubuhi had I jioni, na unaweza husionane Naye, badala ya kufanya shughuli za kujenga Taifa tunashinda tumekaa kwenye foleni.
Askofu wa katoliki jimbo kuu la Songea, Askofu Dammian Dallu ameicharukia Serikali juu ya utaratibu wake mpya wa kukusanya mapato na kuwataka kuwa na leseni katika Vituo vya watoto yatima...
Jamaa yangu kapigiwa simu mara nne na namba ngeni hakutaka kupokea. Yeye alijua ni jamaa anayemdai akaona auchune, maana atamjibu nini? Pesa yakumpa hana, vyuma vimebana hadi vinaingia kutu, hata...
Nchi nzima inanyesha mvua, huku jua limekaza kama kiangazi. Kuna nini? Zanzibar inanyesha, Dar inanyesha, Moro inanyesha, Arusha/Moshi inanyesha.
Tanga wadigo mmefanyaje?
Ndugu zetu hawa nishawasindikiza mara nyingi moshi kuzika, taratibu zao huwa hawachimbi kaburi siku ambayo sio ya mazishi na wakisafirisha mwili wa marehem huwa hawaufikishi nyumbani usiku...
SEKTA ya Afya inatarajiwa kuwa na mabadiliko makubwa ya kiteknolojia nchini na katika Jumuiya ya Afrika Mashariki kwa kutoa huduma kwa njia ya teknolojia ya habari na mawasiliano (Tehama) huku...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.