Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

JF Prefixes:

Mkuu wa wilaya ya Kalambo mkoani Rukwa Bi Julieth Binyura, ameagiza kusakwa na kukamatwa mara moja mganga mfawidhi wa zahanati ya Ilango katika kata ya Kilesha, anayetuhumiwa kufanya ubadhirifu wa...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Wadau Mimi na jamaa zangu tumeanzisha asasi ya kiraia inayohusiana na masuala ya uelimishaji umma na mazingira tangu Mwaka 2015. Changamoto ni namna ya kupata wahisani wa kusaidia shughuli zetu...
1 Reactions
2 Replies
212 Views
  • Redirect
ALHAMDULILLAH! Ndugu zenu wa.Dom toka jana tuna neema ya mvua.wakuu tujuzane, vipi huko mlipo hali ikoje?
0 Reactions
Replies
Views
Mfanyabiashara ndogondogo (Machinga) akiwa chini ya ulinzi wa askari polisi na mgambo wa Manispaa ya Morogoro, jana wakati wa operesheni ya kuwaondoa kwa nguvu wanaofanya biashara kando ya...
5 Reactions
34 Replies
5K Views
Liu Di Plays With Proportions Between The Animate and Inanimate. Digitally manipulating images of animals, human nudes and insects to be disproportionate within shabby urban settings, Chinese...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Msichana Mary Kibwana Kamango (pichani) raia wa Kenya ambaye alinyanyaswa na kujeruhiwa na mwajiri wake huko nchini Jordan amerejeshwa nyumbani. Mary amesimulia kuhusu unyanyasaji wanaofanyiwa...
0 Reactions
219 Replies
30K Views
Wilaya ya Rombo mkoani Kilimanjaro ni moja kati ya wilaya zinazoongoza kwa ulevi hapa Tanzania ikiwa pia ni wilaya inayoongoza kwa kuwa na aina nyingi ya pombe za kienyeji duniani kote...
3 Reactions
29 Replies
5K Views
  • Redirect
Ndugu zangu poleni na majukumu ya kila siku, Inasemekana kuwa mtoto mchanga anapodondokewa na kitovu chake wakati kinaelekea kupona huwa uwezo wake wa sehemu za siri umepotea tena, yaani hususani...
1 Reactions
Replies
Views
Wakuu! Kama kichwa cha Uzi kinavyo sema, Uzi huu uwe maalum kwa ajili ya kueleweshana juu ya protocol mbalimbali. Mfano. Table manners, ulinzi wa rais, mavazi na diplomasia, namna ya kupokea...
0 Reactions
1 Replies
697 Views
Wanafunzi wa shule za sekondari za GOGONI na HONDOGO huwezi kuamini hawana usafiri salama wa kuwapeleka shule isipokuwa husafiri uliokuwepo ni bodaboda tu!! Shule hizi jirani ziko mkoa wa DAR ES...
1 Reactions
23 Replies
4K Views
Moshi. Moto mkubwa ambao chanzo chake bado hakijafahamika, unaendelea kuteketeza jengo la ghorofa mbili la makazi ya Askari wa Kikosi cha Kutuliza Ghasia (FFU) la mjini Moshi usiku huu. Vikosi...
5 Reactions
83 Replies
7K Views
Baada ya kukabidhiwa Mkuu wa mkoa Makonda akasema ‘Nimekabidhiwa jengo hili likiwa limekamilika hata mwaka haujaisha na hili ndio kusudi la Rais wetu John Pombe Magufuli watu wafanye kazi...
5 Reactions
35 Replies
3K Views
  • Redirect
Naomba Sana..mniwie radhi..mama zangu,Dada zangu na wanawake wote kwa ujumla..katika bandiko langu LA kuwa "wanawake wasio kuwa na magari wachafu" ( Wanawake wasiokuwa na magari ni wachafu)...
1 Reactions
Replies
Views
  • Redirect
Mh rais kiukweli heshima Mjini imeanza kurudi, wale waliokuwa wanatupita bila hata kutusalimia sasa hivi wanatusalimia, wale dada zetu waliokuwa wakikuona tu mbele yao wanajifanya wanaongea na...
0 Reactions
Replies
Views
Niaje wadau? Hili tukio nililishuhudia kwa macho yangu wala sio stori.. Ilikuwa ni jijini mwanza mwaka 2006 tukiwa kwenye gari tunatoka kwenye harusi usiku kama saa nane hivi ama saa tisa usiku...
7 Reactions
132 Replies
14K Views
Ndugu zangu nadhani muwazima wa afya tele Hivi majuzi nimeamua kununua Salio kwa ajili kuangalia Airtel tv Ajabu ni kwamba hiyo app ukiidownload Haifunguki Kila ukitaka kuifungua inaleta...
0 Reactions
2 Replies
616 Views
wakati mwingine watanzania tunapokuwa tunapojadili mambo ambayo ni yetu lakini tuliowapa dhamana wanatuficha mambo hayo sisi wamiriki ni rahisi ama kuwepo mchezo mchafu au kuwepo umbumbu nyuma...
0 Reactions
0 Replies
458 Views
Rais Mstaafu wa Tanzania Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete bado anaendelea kulitumikia bara la Afrika ambapo kama haufahamu, yeye pia ni Mjumbe maalum wa umoja wa Afrika katika usuluhishi wa mgogoro wa...
1 Reactions
2 Replies
923 Views
Katika wakuu wa Mikoa wote wa hii nchi.. Namuelewa sana Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro.... Mkoa umetulia sa ivi siasa siasa izi za visasi zimepungua kabisa.. Msalimieni sana ..
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Hivi karibuni waziri mwenye zamana amesikika akitangaza paranja la watumishi wote wa uma kupeleka vyeti vyao vya kidato cha nne na sita katika baraza la mitihani la taifa NECTA kwa ajiri ya...
0 Reactions
0 Replies
582 Views
Back
Top Bottom