Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Naam wakuu habari za weekend, Ktk maisha hususani haya ya kibongo ukiamua kutumia pesa km kipimio cha kumpimia mtu,hasa ukitaka kujua yupi ni mwaminifu na yupi si mwaminifu haki ya nani kwenye...
2 Reactions
4 Replies
2K Views
Habari wana JamiiForums! Binafsi sijawai kuua au kusababisha kifo ila nimekuwa nikisikia kwa watu kwamba mtu akishaua mtu aidha makusudi au bahati mbaya hawezi kuwa normal kiakili. Inawezekana...
0 Reactions
22 Replies
3K Views
Baraza la madiwani halmashauri ya wilaya ya makete mkoani mkoani Njombe limepitisha na kuridhia kuwasimamisha kazi watumishi wapatao 50 waliojipatia ajira kwa njia ya udanganyifu na mtumishi mmoja...
0 Reactions
2 Replies
4K Views
Habari, Mara kwa mara watu wamekuwa wakitoa story za kunyanyaswa na kutendewa mabaya pale walipoenda kuishi na ndugu zao , lakini ni mara chache sana kukutana na mtu kwamba alipoenda kuishi kwa...
0 Reactions
22 Replies
3K Views
Wana JF habari za muda huu, Jamani kuna namba inanipigia simu kila wiki, yaani kila wiki lazima inipigie zaidi ya mara moja...Huwa nahofu sana kuipokea kutokana na simulizi mbalimbali...
2 Reactions
19 Replies
2K Views
Halmashauriya Wilaya ya Hai Mkoani Kilimanja imefanikiwa kupata hati safi baada ya wakaguzi wenye dhamana ya kazi hiyo kutekeleza majukumu ya kazi zao. Hayo yamebainishwa na Mwenyekiti wa...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
katika kujipumzisha leo nikiwa katika usingizi mnono mtamu.basi ghafla nikajikuta nipo msikitini na kanzu nyekundu nasali sala ya mchana(adhuhuri au alasiri) Bwana mkubwa CAG alikuwa amemaliza...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Habari za hapa na pale ni kuwa izo huduma hazipatikan sasa zaid ya nusu saa Facebook services are experiencing technical difficulties, with users in Europe, Malaysia and some parts of the US...
1 Reactions
11 Replies
2K Views
Unapompa Aliyeua Adhabu Ya Kumuua ili kuwaonesha Wengine Kwamba Kuua Ni Dhambi Je ?? Ni kosa Au Si Umekuwa Umeua ?? [emoji1745][emoji1745][emoji1745] (H!B€ L|_|B€
1 Reactions
1 Replies
1K Views
Nimejiandaa kufanya maombi mazito siku ya ibada ijayo! Kama wewe ni Mzalendo, Tuungane kumuombea huyu Mzee! Huyu ndiye anaesitahili kuombewa!! Niandalieni matishert yaliyoandikwa PRAY4ASSAD...
2 Reactions
6 Replies
2K Views
Jana zoezi lilikwenda vyema pamoja na changamoto ya watu wengi kutokufahamu ,dhana hii mpya lakini tumekbaliana kuendelea kuwaamsha walio lala zaidi na zaidi , shukrani sana kwa Guru Kinabo ...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Jana taarifa ya CAG iliwasilishwa bungeni Kama sheria inavyotaka! Kabla taarifa hiyo haijawasilishwa kila mtu anajua Barça(bunge) liliamua kuvunja mkataba na mchezaji wake mahiri Messi (CAG). Kwa...
1 Reactions
3 Replies
1K Views
:eek::eek::eek::oops::oops::oops::oops::oops::oops::oops::oops::oops::oops::oops:
0 Reactions
9 Replies
1K Views
Habari zenu wana JF, Awali ya yote ningependa kuwaomba wanaoendesha Tatu Mzuka kuwa wavulimivu kwa hili. Siku nyingi nimekuwa nikijiuliza hawa jamaa wa tatu mzuka wanatumia njia gani kupata zile...
5 Reactions
71 Replies
22K Views
huyu ni waziri mkuu wa Luxembourg’s ameoa mwanaume halafu sisi tuige kweli ??? Luxembourg’s prime minister first EU leader to marry same-sex partner Xavier Bettel and his partner, Gauthier...
1 Reactions
5 Replies
2K Views
Kwa mara nyingine Light and sound meditation Africa ,Inakuletea mafunzo ya kiroho jijini Mwanza yatakayofanyika kwa siku mbili yaani jumamosi na Jumapili 13/14 /4 /2019 kuanzia saa tatu asubuhi...
0 Reactions
16 Replies
3K Views
Natambua kuwa Ni adabu njema unapowakuta watu kuwasalamia na Kisha Mambo mengine kuendelea.lakini kinachonikera ni Aina ya hizi salamu.kwa mfano mtu unakutana naye unamwambia Mambo vipi?yeye...
4 Reactions
7 Replies
1K Views
Forker 50 ni ndege ambayo majuzi imechorwa twiga ubavuni na kupakwa rangi zingine zinazoendana na atcl. imetrend sanaa mitandaoni hasa baada ya kupakwa rangi kwa milion 7 tu badala ya milion 300...
1 Reactions
27 Replies
4K Views
Nimechoka. Yaani nasema nimechoka. Unless otherwise wapitie upya makato yao na kuweka gharama zenye mashiko, vinginevyo nitasafiri hata umbali mrefu kwenda kuweka pesa kwa wakala wa benki au benki...
2 Reactions
28 Replies
12K Views
Habari za usiku wana jamii forum wenzangu. Mungu ni mwema kila wakati.Nilimaliza chuo kikuu mnamo mwaka 201..Sintazijaza dash nilizoziacha ili nisigundulike identity yangu.Wakati naanza mwaka wa...
3 Reactions
76 Replies
5K Views
Back
Top Bottom