Nawezaje kupata Ufadhili wa asasi

Miangalua

Member
Jan 3, 2017
15
9
Wadau Mimi na jamaa zangu tumeanzisha asasi ya kiraia inayohusiana na masuala ya uelimishaji umma na mazingira tangu Mwaka 2015.

Changamoto ni namna ya kupata wahisani wa kusaidia shughuli zetu. Jitihada za kuomba ubalozi wa Marekani na Oxform hazijazaa matunda. Naomba kujulishwa wadau wengine ili tuweze kufanya kazi
 
Wadau Mimi na jamaa zangu tumeanzisha asasi ya kiraia inayohusiana na masuala ya uelimishaji umma na mazingira tangu Mwaka 2015.Changamoto ni namna ya kupata wahisani wa kusaidia shughuli zetu. Jitihada za kuomba ubalozi wa Marekani na Oxform hazijazaa matunda. Naomba kujulishwa wadau wengine ili tuweze kufanya kazi
Napita tu

Sent from my GT-N7100 using JamiiForums mobile app
 
Jitahidi kuanzisha kazi za kilimo kwanza kabla hujaenda USA embassy naam ila wanafadhili kama mradi umeanza sio was wauanzishe.. hivyo tu boss!!
 
Back
Top Bottom