wakati mwingine watanzania tunapokuwa tunapojadili mambo ambayo ni yetu lakini tuliowapa dhamana wanatuficha mambo hayo sisi wamiriki ni rahisi ama kuwepo mchezo mchafu au kuwepo umbumbu nyuma yake.
kiufundi inawezekana kabisa ujenzi wa reli kutoka dar mpaka mwanza au kigoma kutumia bei moja au nusu yake.
ni ni kutokana na aina ya reli inayojengwa.
ukijenga "double truck rail way" kama hii inayoonekana hapa chini gharama yake ni mara mbili ya
gharama ya kujenga hii single truck ni nusu ya ujenzi wa double truck.
sasa serikali watueleze wachina walipendekeza kitu gani na waturuki wamependekeza kitu gani.
uzuri wa double truck ni kupunguza mda wa treni kupoteza mda kwenye vituo kusubiri kupishana, kupunguza ajali kwa kuondoa uwezekano wa treni kugongana, treni kutokusimama kwa mda mrefu hata kama njia moja kuna tatizo kama ajali