Mfanyabiashara ndogondogo (Machinga) akiwa chini ya ulinzi wa askari polisi na mgambo

Francis12

JF-Expert Member
Sep 30, 2016
7,533
22,278
Mfanyabiashara ndogondogo (Machinga) akiwa chini ya ulinzi wa askari polisi na mgambo wa Manispaa ya Morogoro, jana wakati wa operesheni ya kuwaondoa kwa nguvu wanaofanya biashara kando ya barabara eneo la makutano ya Mtaa wa Madaraka na Makongoro. Picha na Juma Mtanda
tmp_8477-FB_IMG_1485766301731-1484086063.jpg
 
Huyo afande kachomeka pisto kiunoni na kajiachua zake mwenyewe .. hana haja ya precaution ya aina yoyote na mtuhumiwa wake hajafungwa mikono...
 
Mfanyabiashara ndogondogo (Machinga) akiwa chini ya ulinzi wa askari polisi na mgambo wa Manispaa ya Morogoro, jana wakati wa operesheni ya kuwaondoa kwa nguvu wanaofanya biashara kando ya barabara eneo la makutano ya Mtaa wa Madaraka na Makongoro. Picha na Juma MtandaView attachment 465253
Mtu mmoja askari wote hao wa nini? Atakuwa amepigwa sana naona amelow damu
 
Huyo askari aliemkamata ni mzembe sana,
yaani hapo kijana akipeleka mkono anaibuka na mguu wa kuku kirahisi mno ,
huyu askari vipi huyu?
 
Huyo askari aliemkamata ni mzembe sana,
yaani hapo kijana akipeleka mkono anaibuka na mguu wa kuku kirahisi mno ,
huyu askari vipi huyu?
Tatizo wengi waliofeli darasa la saba wanakimbilia huko umeona akigeuza tuu mkono anachukua silaha anawaweka chini ya ulinzi
 
Afisa afisa afisa kuna wafuasi kibao hapo mjegejo wewe mtuhumiwa umemshika ww duuu
 
Huyo askari aliemkamata ni mzembe sana,
yaani hapo kijana akipeleka mkono anaibuka na mguu wa kuku kirahisi mno ,
huyu askari vipi huyu?
Hilo coplo hapo nyuma kwa muonekano tu ni likamanda ila huyo bosi ni ndaro na mzembe sana akakae ofisini asaini barua za ofisi kazi za front hawaachie makoplo na Mafidi fosi.

Hapo mguu wa kuku kauweka rehani!
 
Back
Top Bottom