Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

JF Prefixes:

Kuanzia January Mosi 2017 bodi ya mikopo inakusudia kuchapisha sura za wadaiwa SUGU waliojinufaisha na mkopo wa Elimu ya juu. BODI YA MIKOPO KUFANYA MSAKO WAAJIRI SUGU WOTE NCHINI WASIOWASILISHA...
1 Reactions
218 Replies
24K Views
Wanajamvi hasa polisi kama mpo hapa, na waziri uliyepigwa chini nisadieni, kwa mara ya kwanza nimekutana na Askari wengi sana ukitoka Arusha mpaka Bagamoyo kuna Askari kibao wanawakamata watu kwa...
2 Reactions
59 Replies
6K Views
Sijajua sasa Kama Nchi nzima ikipata njaa na yeye atatafuta kazi ya kufanya ama vipi, Maana alisema Mkuu wa Mkoma au Wilaya sehemu yake au Mkoa wake ukikumbwa na Njaa huyo atafute kazi ya...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akibusu mkono wa Askofu Msaidizi Jimbo Katoliki la Bukoba Askofu Methodius Kilaini mara baada ya kuwasili katika Kanisa Kuu la...
2 Reactions
16 Replies
7K Views
  • Redirect
Ni wazi asilimia kubwa ya watu wanaoishi town tunaishi kwenye nyumba zakupanga. Actually nyumba za kupanga zinachangamoto nyingi ambazo source yake ni kati ya mpangishaji na mpangaji/wapangaji au...
2 Reactions
Replies
Views
Habari Mkuu Mimi ni msikilizaji mzuri wa radio lalini:- Hiki kitendo cha clouds Fm kufanya matangazo karibia dk 20 hadi 25 ki ukweli kinaboa, yaani unasikiliza redio dk 20, unasikia matangazo...
12 Reactions
94 Replies
7K Views
Nimejaribu kutembelea leo app ya kupatana nilichokutana nacho ni kila bidhaa IKO premium, Nime edit article yangu naona wamerekebisha na kuturudishia huduma zile za matangazo ambazo sio premium
0 Reactions
0 Replies
657 Views
Salaam, Kwanza nikupe pole mh. Mwigulu Nchemba kwa starehe za krismas. Nimekuona leo unazurura Huko timu wasafi hongera. Labda nianze kwa kusema tumechoka kuzika vijana wetu na hasa nguvu kazi...
2 Reactions
26 Replies
3K Views
Kwanza niwasalimu kwa heshima zote wanajamvi. Kuna kipindi niliingia kwenye jopo la watu waliokuwa wanasema pesa hakuna kama ambavyo wengi wamekuwa wakisema na bado wanaamini hivyo. Ila kwasasa...
0 Reactions
3 Replies
934 Views
Ndugu zangu wana JF, Naomba nizungumze hili kwani nisipozungumza nikifa mbingu itaniuliza. Mimi binafsi nampenda sana rais wangu Kikwete, huwa namwona kama baba yangu na sio Rais. Huwa inafika...
12 Reactions
78 Replies
8K Views
Jamani tarehe 16 nilienda NMB -mlimani city, hali ya benki kweli mbaya. Nimeshangaa NMB Bank Mlimani city- Counter hazina hata foleni nilikaa mule zaidi ya nusu saaa, sikumuona mtu anayepeka...
5 Reactions
41 Replies
8K Views
The History of Christmas origin of christmas I. When was Jesus born? A. Popular myth puts his birth on December 25th in the year 1 C.E. B. The New Testament gives no date or year...
2 Reactions
38 Replies
3K Views
Nimeangalia sioni urefu halisi wa daraja hili Millau Viaduct linalodaiwa kuwa ndio refu zaidi duniani ukitajwa? Nani anaweza kunisaidia kujua lina urefu gani.
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Happy new year Wana JF wote. Waziri Mkuu Mstaafu na Mjumbe wa Kamati Kuu Chadema Taifa Mhe.Edward Lowassa ameshiriki ibada ya mwaka Mpya pamoja na Familia yake katika kanisa la KKKT Dayosisi ya...
4 Reactions
7 Replies
3K Views
Magufuli ametua Kagera leo kuwapa pole na tetemeko.atatoa machozi ya kweli au ya mamba?
0 Reactions
2 Replies
1K Views
  • Redirect
2016 NENDA BABA TUNASHUKURU KWA YOTE. 1. Tumetumbuliwa majipu mpaka chunusi nenda tu baba... 2. Tumewaona waliofaulu wakiitwa vilaza, tuliumia lakini tufanyaje.. Nenda tu baba 3.umefanya kabeji...
0 Reactions
Replies
Views
WanaJF wote nawatakia kheri ya mwaka mpya 2017, uwe mwaka wa kukupa hatua njingine iliyo bora zaidi katika maisha yako.
3 Reactions
148 Replies
10K Views
Pole mwanadamu na hongera pia,unapoingia mwaka mpya na kaburi nalo linasogea karibu yako,watu wema wanalia na kutubia dhambi zao,mnaoipenda dunia mpo kwenye bar na kumbi xa starehe,enyi watu...
9 Reactions
19 Replies
2K Views
Back
Top Bottom