Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

JF Prefixes:

Hakuna watu wanaishi kwa kuunga unga kama madalali. Wao ndio wapiga dili wa hapa mjini. Kwanza wengi wao hawana hata elimu,huku wakitaka maisha ya mkato na maisha ya juu. wao ndio wanafanya bei za...
0 Reactions
1 Replies
648 Views
[emoji122]
0 Reactions
0 Replies
390 Views
Mkazi wa Kijiji cha Muharango, Kata ya Nyamagaro wilayani hapa, Lukas Jenge (24) amefariki dunia kwa kujinyonga na kamba ya katani baada ya mama yake kumzuia asimrithi shemeji yake. Kamanda wa...
0 Reactions
66 Replies
4K Views
Ilikuwa jana tarehe 26. Maeneo ya posta (city hunter) karibu na posta ya zamani Maajabu niliyoona jana ilinibidi nicheke !! Ni hivi; Kwanza niwashukuru viongozi woote wa mradi huu wa mabasi...
26 Reactions
74 Replies
11K Views
Niko zangu bar moja hapa town nacheki mpira na ka Fanta pineapple kangu taratibu! Lakini nashangaa cku izi kila mtu kawa mlokole, yaani kila anayekuja anaagiza sprite, maji, coca na vinywaji...
0 Reactions
1 Replies
714 Views
Wakuu kuna hii kero ya kulipa road licence kila mwaka kwa magari yetu, hivi kwanini serikali isiweke kodi hii kwenye mafuta? Ili pale unaponunua mafuta uwe umelipa kabisa na hiyo road licence...
3 Reactions
46 Replies
4K Views
Kwa mwezi mzima nimekuwa nafuatilia CRDB kwa aajili ya kuactivate card yangu kwa ajili ya kuactivate online transactions kama PAYPAL na kununua vitu mtandaoni bila mafanikio. Naishia kupewa...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Wakuu mimi ni mpenzi mkubwa wa kufatilia History za Viongozi walio na Wanaoshika madaraka juu Ya juu katika Taifa langu hili La Tanzania, Napenda kusikiliza hotuba mbalimbali za Viongozi hao kwani...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Hello wajameni! Kwa wanaoishi pande hizi za Kigamboni watakubaliana na mimi kuwa umeme huku ni Janga. Kwanza mdogo,then unakatika katika kama disco light,au ukatike masaa 18...,Tanzania ya...
0 Reactions
0 Replies
557 Views
  • Redirect
Kuna Mgao wa kimya kimya nchini unaendelea kila siku, Nimepata Taarifa kuwa TANESCO wanaogopa kutangaza kuwa kuna mgao wa UMEME wakihofia kutumbuliwa, mathalani, kwa Jiji La Mwanza, mgao ni mkali...
3 Reactions
Replies
Views
Ninaishauri serikali ifanye yafuatayo kwa wahitimu wa Ualimu Sayansi na Hisabati kwa mwaka 2015 1. Waende JKT miezi mitatu kuanzia March - May 2017 2. Wapatiwe mafunzo upya kwa muda wa miezi...
1 Reactions
9 Replies
1K Views
Kwanini watu ambao ni washirikina sana tena wanaohusika hata kwenye utoaji wa makafara wanajifanyaga ni watu wa ibada na imani sana. Inawasaidia?
1 Reactions
8 Replies
1K Views
Wakati mwingine huwa najiuliza ni chombo kipi hasa kinaweza kupigania maslahi na haki za watumishi Tanzania nakosa majibu , kuna vyama vingi vya wafanyakazi lakini leo nitasema kidogo kuhusu CHAMA...
1 Reactions
2 Replies
2K Views
Habari zenu wadau, mimi nipo Tanga mjini natafuta nyumba ya kupanga yenye vyumba 3 au 4, naomba Msaada wenu wadau wa JF kama Kuna mtu anaweza kujua, Natanguliza shukrani.
0 Reactions
3 Replies
1K Views
  • Redirect
Jeshi la wananchi wa Tz mmejenga heshima KUBWA kwa muda mrefu lakin huu ubabe wa kijinga usio na busara wala kufuata sheria hasa unapo muattack raia wa kawaida had kupelekea mauaji ni kuzid...
0 Reactions
Replies
Views
Habari za kazi wakuu, Natoa Taarifa, Juzi usiku kwenye saa Tano nilikuwa eneo la Tegeta Machakani kwenye grocery ndogo, maarufu kwa mama Tomino. Tulikuwa kama watu watano hivi huku tukitaka...
21 Reactions
214 Replies
18K Views
  • Redirect
Naombeni utaratibu wa kumiliki kabastola kwa sasa maana kipindi cha nyuma Nilichemka walaji walikua wengi.
0 Reactions
Replies
Views
Ifuatayo ni orodha ya vyakula maarufu kabisa kuwahi kutokea hapa nchini. Orodha haijazingatia ubora wa chakula husika! Unaweza ongezea vya kwani! 1. Chipsi kuku. 2. Chipsi mayai. 3. Chipsi na...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Sielewi shida ni kwenye miti mingi hakuna wajenzi au la. Kila mwaka Rwanda inaleta wanafunzi kibao (hususani wa udaktari bingwa) kuja kusomea kozi mbalimbali kwenye vyuo vyetu Tanzania. Nenda...
5 Reactions
38 Replies
4K Views
Back
Top Bottom