dtj
JF-Expert Member
- Nov 29, 2014
- 1,332
- 1,375
Wakuu!
Kama kichwa cha Uzi kinavyo sema, Uzi huu uwe maalum kwa ajili ya kueleweshana juu ya protocol mbalimbali.
Mfano.
Table manners, ulinzi wa rais, mavazi na diplomasia, namna ya kupokea wageni wa kitaifa, nk
Hii Inaweza kua msaada kwa watu wa kada mbalimbali hususan katika utekelezaji wa majukumu YETU.
Nawakaribisha tujuzane.