Picha zinatisha: Msichana wa kazi za ndani achomwa na moto Uarabuni

figganigga

JF-Expert Member
Oct 17, 2010
25,658
55,485
Msichana Mary Kibwana Kamango (pichani) raia wa Kenya ambaye alinyanyaswa na kujeruhiwa na mwajiri wake huko nchini Jordan amerejeshwa nyumbani.

Mary amesimulia kuhusu unyanyasaji wanaofanyiwa wasichana kutoka Afrika wanaofanya kazi za ndani katika nchi zilizopo katika Falme za Kiarabu.

Tukio lake lilihusisha kupigwa na mwajiri wake na kuchomwa kwa moto wa gesi mapema mwezi Aprili mwaka huu. Pamoja na kuomba msaada hakuna aliyemsaidia ikiwemo vyombo vya usalama nchini Jordan.

Baada ya tukio hilo la kusikitisha, raia wa Kenya wanaoishi katika nchini Jordan walichangishana fedha za nauli na kufanikiwa kumsafirisha mwenzao kurudi nyumbani. Kwa sasa Mary amelazwa katika hospitali ya rufaa ya Kenyatta ambako anapatiwa matibabu ya majeraha ya moto wa gesi.

Mary amewaasa wasichana wenzie dhidi ya unyanyasaji wanaofanyiwa wafanyakazi wa kazi za ndani katika nchi za Falme za Kiarabu.
76d44419-b566-41d1-8f15-be05e26d2b6d.jpg
 
Kuna siku nilisikia mimi mwenyewe Radio moja nadhani ni Clouds (sikumbuki sana) msichana mmoja wa Tanga akieleza jinsi Waajiri wao huko Arabuni wanavyowatumikisha na kuwatesa , ni aibu kubwa. Amewaonya Watanzania wasirubuniwe kwenda Arabuni kufanya kazi za ndani ni mateso
 
JACQUELINE KUBANIA, jkubania@ke.nationmedia.com

A house help is nursing serious burns, which she sustained while working in the Middle East.

Mary Kibwana Kamangu, who had been working in Jordan for 10 months when the incident happened, told journalists from her Kenyatta National Hospital bed on Monday that she had been making a cup of tea in the kitchen on April 17 when the gas cylinder exploded.

“My clothes and lower body immediately caught fire before it spread to my chest. I managed to run to the bathroom where I passed out,” she said.

KICKING HER

When she regained consciousness, her boss was kicking her on the back and legs while hurling insults at her.

Her screams caught the attention of a neighbour who rushed to the house and immediately called the police, who promptly took her to hospital.
 
Shukrani mkuu...
 
kuna aliyekuwa mbunge wa temeke ndie alikuwa anajifanya anawapa ajira mabinti wa kitanzania kumbe anawapeleka kwenye mateso
hao waarabu ni wanyama halafu wanataka wapewe zanzibar kisa mababu zao waliweka makazi
 
Kwani hakuna ubalozi wa hata nchi moja ya Afrika Mashariki nchini hapo?
Kwanini wameshindwa kumsemea binti huyo na mhusika akawajibishwa kwa kumtibu na kumsafirisha?
Kwakweli kama kuna ubalozi wa Kenya nchini humo unataarifa na umekaa kimya,nibora huyo balozi aondolewe hana maana
 
Donkey judge so quick Warabu sio wabaya wabaya wale walio acha makwa nakukimbilia inch za watu kwani waki kaa hapo tz kuna mtu atawatesa

kwahiyo na wewe akija mtu kutoka nje y a nchi utamtesa? au ndio unawatetea ndugu zako .
 
kwahiyo na wewe akija mtu kutoka nje y a nchi utamtesa? au ndio unawatetea ndugu zako .
Soma maelezo kwa kiingereza,huyu alilipukiwa na mtungu wa gesi,ndio akaunguwa,akakimbilia chooni.Majirani,waliposikia kelele,wakaja na kuita polisi akapelekwa hospital.
Hakuna maelezo yanayoonyesha alichomwa na tajiri yake.
Na pia hakuna sehemu inayonyesha alikuwa anafanyakazi kwa mtu wa kabila gani.Huko nchi z a kiarabu wapo pia watu wa nchi za kiafrika wenye uwezo wa kuajiri wafanyakazi wa ndani.
 
Huyu hakuchomwa,gesi imemlipukia,ndio akaunguwa,soma maelezo ya kiingereza.Mleta uzi lugha ya kiingereza imempiga chenga.
MUNGU ANAJU YOTE KAMA KAUNGUZWA AU KAUNGUA BAHATI MBAYA.ILA NIMEWAHI SIKIA MABINTI KADHAA WALIO WAHI KUWA WAFANYAKAZI HUKO UALABUNI WAKILALAMIKA KUWA HUKO UALABUNU KUNABATESO SANA NA WENGI WAMEKUWA WAKIWAASA WENZAO WASIENDE HUKO.
 
Back
Top Bottom