Wakuu wa Mikoa Ambao hawana maneno mengi ..

Imposibo_

JF-Expert Member
Feb 1, 2016
2,746
2,121
Katika wakuu wa Mikoa wote wa hii nchi.. Namuelewa sana Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro....
Mkoa umetulia sa ivi siasa siasa izi za visasi zimepungua kabisa..
Msalimieni sana ..
 
Uzuri mmoja wa mikoa ya kaskazini ukikubalika maisha yako yatakuwa fresh ila ikiwaletea Shobo nomaa a
 
Tulijipendelea sana miaka ile. Umeme, shule na maendeleo kwa ujumla. Ni sawa akiwa kimya.

Sasa hivi ni zamu ya mikoa mingine kuendelezwa.
 
Moshi umeme na maji tokea 2002 naenda kuwasilimia babu na bibi kule mgombani kila kitu kipo. Huyo mkuu wa mkoa ataongea kitu gani?
 
Moshi umeme na maji tokea 2002 naenda kuwasilimia babu na bibi kule mgombani kila kitu kipo. Huyo mkuu wa mkoa ataongea kitu gani?
Ha ha ha baada ya kumuona hawasumbui upinzani mmeshamuona hafai? Nyie ccm bana sijui kama huwa ni watu nyie
 
Mi namkubali sana mrisho gambo, kwa jinsi anavyopambana na wezi was Mali za umma waliojificha kwenye siasa. Keep it up brother gambo.
 
Back
Top Bottom