martini enock
JF-Expert Member
- Jul 31, 2015
- 635
- 273
Ndugu zangu nadhani muwazima wa afya tele
Hivi majuzi nimeamua kununua Salio kwa ajili kuangalia Airtel tv
Ajabu ni kwamba hiyo app ukiidownload
Haifunguki
Kila ukitaka kuifungua inaleta maandishi
Huna pesa ya kujinga Airtel bundle tv
Tafadhali piga *148*88#
Nikadhani kwamba huenda nimekosea
Nikarudia kufanya malipo
Jibu likaja hilohilo
Nasikitika sana kwa kampuni ya Airtel Tanzania
Kwakunifanyia unyama huu
Tcra fanyeni kweli
Tendeni HAKI kwa Wateja na wamiliki wa Makampuni ya SIMU
Hizo app fake wazitowe wamiliki wake
Maana tunaumia sisi Wateja.