ZE NDINDINDI
JF-Expert Member
- Sep 19, 2016
- 1,885
- 4,012
Baada ya kukabidhiwa Mkuu wa mkoa Makonda akasema ‘Nimekabidhiwa jengo hili likiwa limekamilika hata mwaka haujaisha na hili ndio kusudi la Rais wetu John Pombe Magufuli watu wafanye kazi, nawashukuru sana GSM Foundation kwa mradi huu ambao utasaidia kupunguza vifo vya Mama na Mtoto‘
‘Mkimuona mkuu wa mkoa yuko na Wafanyabiashara jua yuko kwa maslahi yenu, yani ukiona tu kuna tajiritajiri flani amekaa na mkuu wa mkoa jua tu hapo Mkuu wa mkoa anampigia mahesabu ya kumuweka kwenye 18 ili mambo ya mkoa wetu yaende’ – Paul Makonda
Sasa MTUKUFU MTAKATIFU makonda,kwa hiyo what do those rich men get in return? umesahau msemo wa JK ya kwamba ukitaka ule sharti uliwe? yaani wanatoa mamilioni tuuuuuu for free au baadaye wanaingiza makontena bure bila kulipa kwa kutoa vi peanuts vya milioni 420????