Zamani ilikua kila ikifika december tukienda kwa bibi huwa ni raha bin amani maana sio kwa hadithi zile,mtasimuliwa story moja itakuja nyingine,nakumbuka enzi zile wakati dada wa kazi akinilisha...
Huu ni ushauri wangu tu. Hasa kwa vijana.
Ni mara 100 ukanunua mashamba /maeneo kuliko kukimbilia kujenga nyumba ya kuishi.
Ukinunua maeneo / mashamba , unakuwa kwenye nafasi nzuri zaidi ya...
Nimekuwa mshamba wa YouTube haswa video. Nikiangalia video nashindwa kufanya ijae kwenye screen ya simu. Mfano naangalia ikiwa nusu screen huku maandishi ya chini yakisoma like, download, save...
Zoezi la usajili wa watahiniwa wa mitihani ya kidato cha nne kwa watahiniwa waliopo shuleni na wa kujitegemea kwa kawaida huanza toka Januari mosi kila mwaka baada vifaa vya usajili kutolewa...
UKISTAAJABU ya Musa utayashuhudia ya Firauni, utamaduni wa watu wa magharibi mwa Uganda ni wa ajabu sana.
Wakazi wa kijiji cha Nakapyata, wilayani Buyende nchini Uganda wamefanya sherehe ambapo...
Kipi kimemsibu Prof. Mlacha aliyekuwa DVC Udom
Habari za hapa!
Huyu Prof. Mlacha alikuwa ni DVC-Finance & Planning ktk Chuo kikuu Udom....
Huyu mzee anamiliki Shule ya Sekondari huko kwao Same-...
Wakuu nawashukuru wote kwa msaada wenu wa hali na mali,nilifanikiwa kupata laki na 85 humu na pia kuna inservice mmoja hapa chuo akaniazima laki moja na nusu,nililipa hizo na hela iliobaki...
Miaka ya karibuni tumekuwa tukiwapa mbwa chakula cha watoto. Hili ni kosa kubwa mno labda kama unathamini mbwa wako zaidi kuliko watoto. Nchi maskini kama Tz tumeacha vipaumbele vya kujenga uchumi...
Nimeshangaa sana kuona polisi wanakula bata milimani city.
Kwa kawaida sidhani kama utawala huu ungeruhusu polisi wale bata kwa fedha za umma.
Je polisi wanaruhusiwa kuandaliwa shehere na...
Kwa namna mambo yanavyoendelea hususani kweli hili suala la CAG na SPIKA nimekuwa nikijiuliza sana hivi wazee wetu wastaafu ambao mara nyingi wamekuwa wakishauri sana kwenye nyakati ngumu za...
Mimi ni mfanyabiashara ninayetimiza vigezo na masharti yote ya urndeshaji ikiwemo kulipa kodi nakadhalika! Adui mkubwa wa biashara yangu ni Bwana afya!
I) Akifika ANADAI Clearance certificate ya...
Nitangulize shukrani zangu kwa muumba wa mbingu na nchi
pili niiombeee nchi yangu na vyote vilivyomo
tatu niiulize serikali mashamba ya mkonge yaliyo achwa kuwa mapori huku baadhi yetu hatuna...
Kwa ambao hamjui maana ya nani alienda Kusoma na nani alienda Shule fuatilieni vizuri hili ' Sakata ' zima la Spika Ndugai na CAG Assad mtayapata majibu yenu ' Kuntu / Sahihi ' kabisa. Naomba...
Leo mapema nilifika kijiwe changu cha kupiga Monde.
Punde si punde watu wakaanza kumsikiliza bwana mkubwa "DHAIFU". Kitu cha kushangaza ni kuwa kila mmoja alitoa lake waliopo wa kutukana na...
Wakuu
Mnajua iko siku mtamkumbuka Pro MJ Assad juu ya ulinzi wa mali yetu ya umma.
Mjue kila kinachoibiwa au kuonekana kimepotea ni mali yetu watanzania na sio mali ya mtu mwingine na lazima...
Mwanamke mmoja aliyefahamika kwa jina la Nana Maganga mkazi wa kijiji cha mwakilezu kata ya mizibaziba wilaya ya nzega mkoani Tabora amewauwa watoto sita kwa kuwa katakata mapanga na kujeruhi...
Si kitu kigeni kabisa miongoni mwetu na hata baadhi yetu tunazo tumezivaa, zinaitwa Pete za bahati.Kiuhalisia si Pete za bahati ni Pete za kishetani ni Pete za maagano ni za kuzimu,ukivaa ile ni...
Nimejaribu kufuatilia hotuba ya jana ya Spika wa Bunge nimetafakari kwa upeo wangu nikajiuliza maswali kadhaa na kujipa majibu mimi mwenyewe yakaishia kwangu kama mtazamo wa kile nilichokisikia...