Tupilike Mwakajumba
Senior Member
- Apr 14, 2019
- 158
- 231
Kwa lugha ya nyumbani ya kinyakyusa anaitwa Sogosela,lakini ni aina ya ndege wanaojulikana kama Weaverbird,maarufu kwa kutengeneza viota na kula mpunga mashambani
Nasikia mtamu sana,kwa hapa Tanzania nasikia ndege wanaliwa sana huko Kondoa wanauzwa kama vile mishikaki inavyouzwa .Vp anafaa kwa kitoweo mkuu?