NecZec
Member
- Jan 23, 2019
- 68
- 119
Ni kwa Nini Serikali inazuia uhamisho wa wanafunzi msingi na sekondari kutofanyika mda wote? Mfano sasa hivi huwezi kuhamisha mwanafunzi hadi mwezi june au december. Hoja kubwa huwa ni nini kwenye hili japo kwa wengine tunaona ni usumbufu na kusherewesha mtu bila sababu ya msingi.