ANDREW JOSEPH
JF-Expert Member
- Jul 17, 2017
- 421
- 405
Nilikaa na mwanasaikorojia mmoja akaniambia haya
Umri kuanzia 1 mpaka miaka14 huu muda mtoto anautumia kujifunza na ndio maana watoto wa lika hili wanamaswali mengi mpaka kero.
Ukikaa na mtoto kwenye kipindi hiki utakoma na ndio maana wazazi huwa wanawapeleka shule ili wakaurize sana
Kundi la pili ni kuanzia miaka 14 mpaka 35 umri huu tunauita ni umri wa ujuaji najua kila kitu yani kila utakalomgusia yeye anajua na ndio maana ukikuta kundi hili wamekaa sehemu ni kelele tu hakuna anaemsikiliza mwenzake
Kundi la tatu ni miaka 35 mpaka 60 hiki nikipindi cha majuto mtu anakaa miaka inaenda hajajenga, umri unaenda bado watoto wanamdai ada na wengi ukimuuliza kipindi anakwambia yani ningepewa mtaji ningeturia au anakwambia kwa mfano sasa ningekuwa sijaoa ningetafuta binti mzuri yani ninge ninge ninge nyingi na kipindi hawa akiwa mtumishi huwa wanakuwa wezi sana ili kufidia muda
Kundi la nne ni miaka 60 na kuendelea hili ni kundi la watu waliokata tamaa yani hawa mazungumzo yao ni kifo na wasia na ukikuta mzee hajatulia ndio kipindi huwa wanauza mali sana
Ila sina uhakika namimi nimeichukua kama nilivyoambiwa
Sent using Jamii Forums mobile app