Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

SERIKALI YA JPM YABORESHA MASLAHI YA WAFANYAKAZI. Waziri wa nchi ofisi ya Waziri Mkuu, (Sera, Bunge, Vijana, Ajira na Walemavu) Jenista Mhagama ameliambia bunge kuwa serikali ya awamu ya 5...
0 Reactions
14 Replies
2K Views
Wakuu msihangaike na diet hata kidogo. Mnapoteza muda na pesa zenu mnaacha kuwa bize na mambo mengine mtu anawaza diet tu. Nilijaribu kupekenyua pekenyua katika makala mbali mbali mwishowe...
0 Reactions
3 Replies
897 Views
Maji ya uhai Mazuri sana kwa kunywa maana ndio kinywahi changu cha kila siku.. Namuomba designer wa chupa abadilishe marangi rangi yake. Mara nyekundu,mara kujani,njano,blue.. Marangi mengi...
1 Reactions
33 Replies
7K Views
MAMLAKA ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) imesema kuwa mawasiliano ya simu za kimataifa yanayoingia nchini kwa njia za wizi, yamepungua kutoka asilimia 65 mwaka 2013 hadi ku kia chini ya asilimia 10...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Wakuu habari. Nina dharula ya kwenda Dodoma kutokea Mbeya kesho tarehe 17.4.2019. Sina tiketi hivyo naomba mwenye mawasiliano na kondakta wa bus hizi anisaidie. Arusha express. Mbeya - Arush...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Kichwa cha habari chajieleza sitaki middle man nataka mtu wa kutoka ndani ya uhamiaji kabisa. Nataka passport ndani ya wiki 2 kwa hiyo bei tajwa hapo juu? Kama unamudu Kazi njoo inbobo.
1 Reactions
12 Replies
2K Views
Mathalani nianze kwa kuuliza! Ukiambiwa "wewe ni Malaya" Huwa unajibuje? Kisayansi neno baya huwa halina nguvu yeyote likipuuzwa! Neno baya hupata nguvu kutokana na linavyopokelewa! mfano 1...
10 Reactions
21 Replies
3K Views
Kwa tukio la kuhuzunisha lililotokea hivi majuzi huko pugu ningeshauri maeneo haya nyeti kuwekwe taa Zipo taa simple sana siku hizi za kichina hizi wanazoweka barabarani ambazo zinajitegemea kwa...
3 Reactions
31 Replies
3K Views
Wakuuuu poleni na majukum,Mimi ni mwalimu wa shule ya msingi halimashauri fulani hapa nnchini. Wakuuu Mimi nina shahada ya elimu ya watu wazima na maendeleo ya jamiii(Bachelor Degree in Adult...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Hatimaye serikali imepiga marufuku uzalishaji na matumizi ya mifuko ya platiki kuanzia Juni 1. Hii ni taarifa njema kwa upande wa mazingira na afya. Lakini naona kuna tatizo jingine ni kama...
3 Reactions
11 Replies
1K Views
Watalaam ndoto ni kitu gani? kwanini watu tunaota? Kwanini ukiota umeokota Pesa mamilioni ukiamka huoni hata mia! Lakini ukiota unagegeda demu ukiamka unakuta vitu vimefyatuliwa nje hata glasi...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Kuna mtu huko IG anajiita prophet anawadanganya watu kwamba amepata ajali kwamba ajali hiyo amewahi itabiri siku za nyuma kabla!
2 Reactions
18 Replies
3K Views
Wanaotumia huduma zenu si watanzania peke yao wapo wageni kutoka nchi mbalimbali wanatumia huduma zenu sasa mnaposema kusajili lain ni mpaka kitambulisho cha utaifa peke yake je hamtaki hawa...
0 Reactions
0 Replies
482 Views
Mimi sichukii tajiri anayepata hela kwa uhalali.Sipendi matajiri wakwepa kodi na mafisadi Ninachokishangaa kwa watanzania wanafkia eti wanawaonea huruma mabilionea kwamba Mambo sio mazuri sijui...
1 Reactions
9 Replies
1K Views
http://www.xinhuanet.com/english/2019-04/15/c_137979566.htm Sent from my iPhone using JamiiForums
0 Reactions
1 Replies
701 Views
Moshi,Baraza kuu la waislamu Tanzania (BAKWATA)Mkoa wa Kilimanjaro limetangaza mfumo mpya wa usajili madrasa ,misikiti na utoaji wa vitambulisho wa maimamu na wafungishaji ndoa na kuzindua vyeti...
1 Reactions
2 Replies
1K Views
Wakati tukifanya tafakari ya mateso na kifo cha Bwana wetu Yesu Kristu kwenye hili Juma Kuu, nimepata kutafakari injili ya Yohana Mtakatifu Sura ya 8:1-12. Injili hii inatukumbusha kwamba tusiwe...
0 Reactions
11 Replies
1K Views
MKASI USITUMIKE KUZINDUA KAMA INAVYOONEKANA KTK PICHA ILE NI SILAHA UNAONA HUYO BONGE ANASUBIRI WAMALIZE KUKATA AANZE KUNYANG'ANYA MIKASI HARAKA HARAKA
0 Reactions
60 Replies
8K Views
Habari za majukumu ndugu wanajamii forum, nijikite kwenye mada husika hapo juu ni hivi,takribani wiki ya pili sasa serikali kupitia wizara ya madini imefungia elution machine mjini chunya...
2 Reactions
21 Replies
4K Views
Kuna baadhi ya kauli/maandiko/miongozo ya Mwenyezi Mungu ambayo kwa namna moja au nyingine ukiitafakari kwa umakini ni kama anatu snitch huku tunaona. Yeye binafsi anasema atamchoma moto wa...
2 Reactions
99 Replies
8K Views
Back
Top Bottom