Sungusungu mtaani

Sungusungu mtaani

mr daz

New Member
Joined
Mar 10, 2019
Posts
1
Reaction score
0
Habari zenu wadau wa jf,

Naombeni kujua zipi changamoto hatarishi za kushiriki SUNGUSUNGU wa kujitolea mtaani maana utaratibu huo umeanza mtaani kwetu kutokana matukio ya uvamizi majumbani wakat wa usiku.
 
Mtaani kwetu ilianzishwa nikawagomea siwezi kesha wakati vifaranga wa jiwe wananipasua kichwa, nasikia wananilia timing nirudi mida yao wanipe show.
Nikichelewa kurudi tu naenda kwa mamsapu!..
 
Mtaani kwetu ilianzishwa nikawagomea siwezi kesha wakati vifaranga wa jiwe wananipasua kichwa, nasikia wananilia timing nirudi mida yao wanipe show.
Nikichelewa kurudi tu naenda kwa mamsapu!..
Ngoja upigwe tv, utaona soo hata kuuliza.
 
Dah...mie nilikuwa najitolea kulinda kitaa deile...wakaja na wivu wao...wakaiua sungusungu yetu...niliumia sana moyo[emoji41]

Sent using Beretta ARX 160
 
Ngoja upigwe tv, utaona soo hata kuuliza.
Nitapigwa muda gani ikiwa usiku nalindwa mchana biashara mtaa wetu umechangamka!?..
Hapo sijaongelea jirani mjeshi nayekaa nae!.
 
Back
Top Bottom