2013
JF-Expert Member
- Aug 2, 2011
- 11,365
- 6,085
Inawezekana kabisa, Watu wasio Elimu ama Ujuzi fulani kukalia Vyeo au nafasi wasizokua na Vigezo nazo ama uwezo. Wakawa miongoni mwa Watoa Maamuzi na wananufaika wakuu wa fursa na manufaa mbalimbali yalioambatanishwa kwenye nyadhifa hizo za juu.
Inapotokea wamekalia nafasi, Vyeo, ambavyo vinawazidi Kimo na Akili. Jamii huwaona wenye 'Bahati ya Mtende.'
Hata hivyo, kiutendaji watu wasio na Elimu, wanaongoza kwakua na Roho mbaya zaidi Kulinganisha na Waliosoma na wakawa na ujuzi kichwani.
Roho Mbaya zao huonekana zaidi kwenye kuhudumia(customer care) na hata kushirikiana na wafanyakazi wengine maofisini.
Hupenda kuonyesha dharau waziwazi, kudhalilisha waliowazidi, hasira za Mkizi na kukosa uvumilivu hata kwa makosa madogomadogo yanayohitaji Uelewa zaidi pindi yanapofanywa na watu kwa bahati mbaya.
Katika Kundi hili, Wanawake wanaongoza kwa roho mbaya zaidi kuliko wanaume.
Sababu za roho mbaya:-
- 'Inferiority complex'
U-bogus wao kichwani, huwaongoza ku-flex muscles ili Waogopwe au kunyenyekewa na watu waliowazidi Elimu, Umri na Maarifa. Huhisi Ukali ndio unawaweka kwenye viwango na vyeo vyao.
- Husuda ambayo wakati mwingine hawajui kuificha wasigundulike.
- Hupenda kutafuta Furaha kwa kuwakomoa wenye Akili zao, sababu ya Wivu.
- Hasira za karibu Ni mkwara wanaoutumia kuficha Ujinga wao usigunduliwe kirahisi. Ambapo hawapendi ufafanuzi wanapohisi utawaonyesha wao kua sio Wataalamu sahihi kumudu kazi zao.
Sababu zingineni
- Ulimbukeni.
- Wala Rushwa/Hongo, ni wavivu wasiopenda kujituma kuhudumia mpaka uwape kitu kidogo.
- Wengine huamia kwenye aina zingine za ubaguzi kama Udini, Ukabila, Nepotism, ushirikina. Kama mkakati wa kujihami zaidi ili kulinda nyadhifa walizonazo.
Ili kusimamia Ufanisi, Taasisi nyingi hupeleka watu Kozi mbalimbali.
Hata hivyo mabogus hawa huzitumia fursa hizi kama sehemu ya kujinufaisha wao binafsi kwa kuchota marupurupu na posho ndefu kwa matumizi binafsi.
Ikitokea wamekwenda kozi, hurudi wakiwa watupu bila mabadiliko chanya ya kitaaluma kutokana na uwezo mdogo wa kujifunza walionao.
Wakienda Vyuo, wengi huishia ku-disco na kuja kudanganya kazini kua wamemaliza vyuo. nk.
Na kuendelea kua Kansa inayotafuna taasisi systemic"
Awamu ya 5 chini ya Daktari JPM, imesaidia sana kuwafyeka mabongolala hawa waliokua kansa mbaya katika taasisi nyingi za Serikalini.
Athari zao zimehamia zaidi katika Mashirika binafsi kama CSOs na NGOs.
Ifahamike kua watu hawa Wanaweza kua wasomi wa Elimu ya ngazi ya Degree a diploma lakini kazi wanazoongoza haziendani na taaluma zao za Darasani.(Discipline are not related)
Mfano. Anakua mtaalamu wa kilimo wakati maisha yake yote hajasomea Sayansi ya Kilimo bali masuala ya lugha ya kiswahili, Siasa au Sheria.
Kazini kunakua na kitabu anakariri kisha anakwenda kua mkufunzi wa kilimo au Ufugaji.
Mtu huyu hawezi kua na amani anapogundua uliyeajiriwa ndiye mtu sahihi aliyesomea masuala hayo ambayo yeye hana Utaalamu nayo.
Sent using Jamii Forums mobile app