Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Tulipokea tahadhari kutoka idara inayohusika na utabiri wa hali ya hewa, ikitutahadharisha juu ya uwezekano wa tufani na hata mafuriko katika mikoa ya kusini. Mpaka muda huu bado hayajatokea...
2 Reactions
10 Replies
985 Views
Taarifa za hivi karibuni zilitolewa na TCRA kuwa kila Mwananchi aliye na simu aisajile simu/zake kwa kutumia vidole na sharti awe na kitambulisho cha Taifa kilichotolewa na NIDA. kwa siku za...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Wanannchi waliokuwa wamejisitiri kwenye uwanja wa ndege wa Mtwara toka asubuhi wamerejea nyumbani kutafuta chakula.wanadai toka alifajiri hadi jioni awajala chochote ....chanzo BBC.
8 Reactions
102 Replies
9K Views
Huyu dada namuona sana kwenye mitamdao ya kijamii hasa tweeter akijinasibu kuwa mtetezi wa haki za binadam na uhuru wa vyombo cha habari. Yupo karibu sana na mwenzie Fatuma Karume. Mwenye CV na...
1 Reactions
11 Replies
8K Views
Tunashuhudia Dr.Tulia akiwa katika msafara wa rais huko mbeya.Jee yupo huko kama mbunge au nani?Jee shughuli za bunge sii muhimu kuliko kuambatana katika ziara na rais?Jee tunaposema mhimili wa...
9 Reactions
36 Replies
4K Views
Salaam! Uzi huu Kama hautakuhusu tafadhali usichangie. Leo tujadili kuhusu fundisho la Lana ya ukoo. Fundisho hili lina nguvu Sana na linaaminiwa na baadhi ya watu wa makanisa ya kipentekoste...
2 Reactions
7 Replies
3K Views
Napenda tu kuwapa taarifa kuwa Boma langu ambalo nililitangaza hapa mwezi wa 4 kwa kuwaomba Ushuri juu ya kuiza kwani Nimeliuza Boma langu na kwa 8.7M na Pesa niliyoiza nimeamua kufanyia Biashara...
11 Reactions
95 Replies
10K Views
HAPPY BIRTHDAY KAMARADE YERICKO JOHANNES NYERERE. Na. Christopher Cyrilo Siku moja, wakuu wa mashirika ya intelijensia wa CIA ya Marekani, MSS ya China na KGB ya Urusi walikutana kujadili mambo...
4 Reactions
8 Replies
2K Views
PUBLIC NOTICE FOR INTENDED ORGANIZATION RESTRUCTURING: Due to changing economic, social and technological environment Mwananchi Communications has been forced to revisit its business Operating...
2 Reactions
32 Replies
6K Views
Na IBRAHIM YASSIN-MBEYA MAHAKAMA ya Wilaya ya Chunya mkoani Mbeya imemhukumu kutumikia kifungo cha miaka mitano jela Jordan Mgena (30), mkazi wa Kahama mkoani Shinyanga kwa kosa la kuiba mtoto wa...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Wakuu kwema? Wakuu nimekuja kwenu kwani kupitia jukwaa hili hakuna kinachoshindikana,kiufupi mm ni kijana wa kiume 25 niliye tiari kuanza ujasiriamali kupitia biashara. Kwa wakazi na wenyeji wa...
1 Reactions
13 Replies
2K Views
Mara nyingi nimeona operesheni nyingi zinapotangazwa huanzia huko. Hata kabla elimu haijasambaa vyema kwa walengwa, harakaharaka inaanzia huko. Mifano ipo ya kutosha. Mfano hili la ukatazaji nguo...
3 Reactions
10 Replies
2K Views
Habari wakuu, Kuota ndoto ukiwa unatema nywele mfululizo (haziishi) inamaana gani?
0 Reactions
13 Replies
6K Views
Inaendelea ilipoishia jana,,,, Jinsi gani nilipata maambukizi ya VVU....... Baada ya kuhukumiwa kufungwa Jela manamo tar 19 mwezi wa kwanza kwa kosa la kubambikiziwa kuwa nimemmbaka dada wa Kazi...
0 Reactions
40 Replies
6K Views
As salaam. Ndugu zangu watanzania Jana nimejikuta nawakumbuka sana kwa utu na wema wenu haswa kwa wale baba au mama wenye nyumba zao mjini tunazopanga sisi ambao tunaanzaga maisha na kutengana na...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Habari za wakati huuwana jukwaa! Leo nmebahatika kuiona televishen ya taifa Zanzibar (ZBC) ndani ya king'amuzi cha DStv chanel 291. Nadhani ni hatua nzuri kwa kua itaongeza wigo wa habari...
1 Reactions
17 Replies
3K Views
Wakuu kwema!! Ni wazi kua wengi wa tulio hitimu chuo kikuu kuanzia 2015 hadi 2018 tuna fanya kazi ambazo hatukuzisomea Mimi naziita "makazi magumu". Binafsi nimehitimu julai 2018 (BAED) sasa...
7 Reactions
20 Replies
3K Views
Heri ya pasaka wana jf natumai kila mmoja wenu anaendelea vizuri. Leo napenda kushirikiana nanyi neno hili Waswahili husema usichezee kazi chezea mshahara, hii ikiwa na maana kuwa chochote...
3 Reactions
8 Replies
3K Views
Naombeni nitoe Ushuhuda wa Safari yangu hii ambayo niliianza juzi j5 hadi hivi leo ndio natoka hapa Dom ila WHY DODOMA KUITWA JIJI??? Nimepata shock sana wazee wa tafakuri ya JIJI sio kwamba...
7 Reactions
71 Replies
11K Views
Wakuu habari zenu! Kuna hizi tabia mbili ambazo binafsi hua zinanikera sana hivyo nimeona niziweke hapa huenda kuna zinao wakera pia. Vile vile huenda wenye tabia hizi wakawa hawajui kama...
1 Reactions
10 Replies
1K Views
Back
Top Bottom