Zanzibar Broadcasting Corporation DStv

Zanzibar Broadcasting Corporation DStv

Sam 2023

JF-Expert Member
Joined
Aug 5, 2017
Posts
1,829
Reaction score
1,984
Habari za wakati huuwana jukwaa!
Leo nmebahatika kuiona televishen ya taifa Zanzibar (ZBC) ndani ya king'amuzi cha DStv chanel 291.
Nadhani ni hatua nzuri kwa kua itaongeza wigo wa habari ikizingatiwa kua hadi leo hakuna local chanel DStv.
Nadhani pia Tanzania Safari TV itaingia Dstv ili Watanzania waendelee kufurahia Chanel za bongo.
 
Attachments

  • 1556263851865-1127891433.jpg
    1556263851865-1127891433.jpg
    436.6 KB · Views: 42
kuna kitu kinanichanganya sana.kifurushi changu kilitakiwa kiishe tarehe 13 mwezi huu.
nikakausha nikasubiri wakate matangazo ndo nilipe.HAWAJAKATA.
juzi customer care wa dstv ananipigia simu.ananiambia sijalipia nadaiwa.lakini nikiwasha Tv.mambo yote wazi.sasa nilipie ili iweje?
mimi silipi mpaka wakate
 
Kwa hiyo hulipi mpaka ukatiwe?? Acha hizo
 
kuna kitu kinanichanganya sana.kifurushi changu kilitakiwa kiishe tarehe 13 mwezi huu.
nikakausha nikasubiri wakate matangazo ndo nilipe.HAWAJAKATA.
juzi customer care wa dstv ananipigia simu.ananiambia sijalipia nadaiwa.lakini nikiwasha Tv.mambo yote wazi.sasa nilipie ili iweje?
mimi silipi mpaka wakate
Mkuu hata mm kifurushi changu kilikuwa kiishe tar 22 nashangaa hadi Leo hawajakatachannel zao naburudika tuu sio ni ofa ya siku kadhaa
 
ofa ipi.wakati juzi customer care wao.kanipigia simu nilipe.
silipi mpake wakate

Mm hawajanipigia ila tar 20 walituma SMS kuwa nilipie lakin sijalipa had Leo na channel zote ziko mubashara ,ndio maana nimekwambia itakuwa wameamua kitoa ofa ya siku kadhaa hata mm silipii had wanikatie
 
kuna kitu kinanichanganya sana.kifurushi changu kilitakiwa kiishe tarehe 13 mwezi huu.
nikakausha nikasubiri wakate matangazo ndo nilipe.HAWAJAKATA.
juzi customer care wa dstv ananipigia simu.ananiambia sijalipia nadaiwa.lakini nikiwasha Tv.mambo yote wazi.sasa nilipie ili iweje?
mimi silipi mpaka wakate
Acha ulofa kwa iyo unawakumbushia huku ili wakate
 
kwani hawajui?wewe ndo utakuwa lofa.kama unadhani HAWAJUI.
mimi wamenipigia hadi simu kuwa nilipe.
ALAFU USIPENDE VYA BURE
Sasa kama wamekupigia simu ulipe ndio ukaona uje kutuelezea
 
kuna kitu kinanichanganya sana.kifurushi changu kilitakiwa kiishe tarehe 13 mwezi huu.
nikakausha nikasubiri wakate matangazo ndo nilipe.HAWAJAKATA.
juzi customer care wa dstv ananipigia simu.ananiambia sijalipia nadaiwa.lakini nikiwasha Tv.mambo yote wazi.sasa nilipie ili iweje?
mimi silipi mpaka wakate
Usijekuanzisha uzi Siku watakayokata na wewe ndo ukalipia ila bado channel zikawa hazirud mpaka umalizie deni
 
Ivi channel za ndani zitarudishwa lini kwene ving'amuzi vya DSTV na AZAM
 
Back
Top Bottom