Nadu
JF-Expert Member
- Jul 19, 2018
- 263
- 212
Salaam! Uzi huu Kama hautakuhusu tafadhali usichangie.
Leo tujadili kuhusu fundisho la Lana ya ukoo. Fundisho hili lina nguvu Sana na linaaminiwa na baadhi ya watu wa makanisa ya kipentekoste mamboleo.
Mafundisho haya yanasema umaskini, magonjwa Sugu, hasira kali, uasherati nk husababishwa na dhambi walizofanya mababu na mabibi zetu. Wanasema hata ukimwamini Yesu hii kitu haitoki mpaka umevunjiwa Lana hii kwa maombi maalumu
Hoja huanzia Katika Kut. 20:5 "Usivisujudie wala kuvitumikia; kwa kuwa mimi, BWANA, Mungu wako, ni Mungu mwenye wivu; nawapatiliza wana maovu ya baba zao, hata kizazi cha tatu na cha nne cha wanichukiao" mistar mingine ni Kut. 34:7, Kumb. 5:9
Sent using Jamii Forums mobile app