Kampuni ya Mwananchi Communucations kupunguza wafanyakazi huku hali ya uchumi ikitajwa kama moja ya sababu

Salary Slip

JF-Expert Member
Apr 3, 2012
41,467
2,000
PUBLIC NOTICE FOR INTENDED ORGANIZATION RESTRUCTURING: Due to changing economic, social and technological environment Mwananchi Communications has been forced to revisit its business Operating model and the organization structures to ascertain business continuity and stability.
D5ATHwfX4AEAtnN.jpg
 

Interest

JF-Expert Member
Apr 11, 2015
3,224
2,000
This was anticipated. I have a friend who works there. He is an asset but his personal opinions on social media are probably going to cost him big time. I am afraid this retrenchment will not leave him safe.
 

bagamoyo

JF-Expert Member
Jan 14, 2010
11,883
2,000
Wahariri wa magazeti na waandishi wao wameshindwa kwenda na kasi ya habari za kina za kiuchunguzi wamebaki kuwa wasikilizaji ktk press conferences bila kuuliza maswali magumu yaliyofanyiwa utafiti.

Sisi tunaendelea na yetu hapa JamiiForums tukichambua, kuhoji na kulumbana kwa hoja bila hofu kuhusu habari au taarifa yoyote.

Kweli JamiiForums itabaki kuwa juu , kileleni kama kimbilio la wengi kwa habari motomoto za kina.
 

mjingamimi

JF-Expert Member
Aug 3, 2015
27,951
2,000
awamu hii ukipata mkate ukale na familia yako shukuru mungu.wala usigeuke nyuma kuangalia wanaosaga meno
 

Sakasaka Mao

JF-Expert Member
Sep 29, 2016
6,227
2,000
Acha ubishi wa kitoto mkuu, Umeambiwa toa neno bure litoe...
NB: Hiyo Wi-Fi kama ni bure mtoa huduma unampa nini mpaka akupe wi-fi ya bure?
Mkuu niwie radhi, sijabishi chochote kuhusu matumizi ya Wi-Fi, hapa nilishadadia matamshi ya hilo neno, jinsi linavyotamkwa na watu huku kijijini.
Na hata hivyo watu wengi wanaelewa kama huduma hiyo hutolewa bure bwerere!
 

bagamoyo

JF-Expert Member
Jan 14, 2010
11,883
2,000
April 24, 2019
Mkutano uliowaleta wahariri wa vyombo vya habari kujadili hali ya mazingira ya kufanyia kazi na uhuru wa habari Tanzania uliotayarishwa na Jukwaa la Huru la Media MCT.
Source : ICON TV TZ
MCT imesema nyakati za sasa mtu kuwa mhariri wa gazeti ni jambo hatari. Uwepo wa makumi ya vyombo mbalimbali siyo kipimo cha uhuru wa habari . Kitu kingine MCT ilichobaini ni magazeti mengi yote yanaandika habari za maudhui yanayofanana, yaani hakuna utofauti baina ya magazeti kujipambanua yamejikita wapi ktk uandishi wao.

Magazeti yanashiriki kubinya uhuru wa habari kwa kuzuia kutoa nafasi kwa wasomaji wake kutoa maoni yaona kuhusu habari iliyoandikwa gazetini.

MCT pia wamewashangaa Wahariri kuwa kimya baada ya tamko la Waziri bungeni wasiulize waandishi waliopotea wako wapi. Hivi Wahariri wanategemea kweli kuletewa habari motomoto ikiwa hawaoneshi kutetea hali ngumu ya waandishi kutishwa, kupigwa, kunyanyaswa n.k
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom