Kididimo
JF-Expert Member
- Sep 20, 2016
- 3,791
- 3,360
Mara nyingi nimeona operesheni nyingi zinapotangazwa huanzia huko. Hata kabla elimu haijasambaa vyema kwa walengwa, harakaharaka inaanzia huko. Mifano ipo ya kutosha. Mfano hili la ukatazaji nguo za ndani za mitumba. Mitumba mingi inashuka Bandarini Dar, pale ndo operesheni zingalianzia Dar,. Lakini nimeona ITV operesheni imeanzia Arusha na Moshi. Hapa nahitaji kueleweshwa kidogo ni kwa nini.