Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Naombeni nitoe Ushuhuda wa Safari yangu hii ambayo niliianza juzi j5 hadi hivi leo ndio natoka hapa Dom ila WHY DODOMA KUITWA JIJI??? Nimepata shock sana wazee wa tafakuri ya JIJI sio kwamba...
7 Reactions
71 Replies
11K Views
Wakuu habari zenu! Kuna hizi tabia mbili ambazo binafsi hua zinanikera sana hivyo nimeona niziweke hapa huenda kuna zinao wakera pia. Vile vile huenda wenye tabia hizi wakawa hawajui kama...
1 Reactions
10 Replies
1K Views
Avocado farmers in the country will now be able to export their commodity to China after President Uhuru Kenyatta and his Chinese counterpart Xi Jinping signed a deal. The deal which was signed on...
0 Reactions
1 Replies
661 Views
Hawa wahudumu wa Bar unaweza agiza chakula ukamkaribisha kimasihara yaani kiutani utani tu akaja kukaa na wakavunja bawa(wakala) Acheni habari hizo bwana kwani kusema ahsante tu haiwezekani?
9 Reactions
34 Replies
5K Views
Last week’s “robbery” at Barclays Bank’s Kinondoni branch, where armed gangsters reportedly grabbed Sh300 million, was faked, The Citizen can authoritatively report. Impeccable sources close to...
2 Reactions
3 Replies
1K Views
Ndugu wana JF, Ni muda sasa, takribani miaka 6 mfurulizo, Mkoa wa Tabora kimekuwa kichaka cha majambazi na kufanya unyang' anyi wa kutumia silaha huku Wilaya ya Urambo ikiongoza kuliko wilaya...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Kimbinga hicho kikiwa kinaelekea maeneo ya Msumbiji na Tanzania, Mamlaka nchini Comoros imesema kilifika nchini humo huku upepo wake ukiwa na mwendokasi wa Kilometa 140 kwa saa na kusababisha...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Najua TISS Ulinzi wa viongozi wana umahiri mkubwa kuhakikisha kuwa viongozi wetu wako salama na wanatekeleza majukumu yao bila wasiwasi wa usalama wao. Lakini sometimes walinzi hawa wanavuka...
34 Reactions
102 Replies
12K Views
Habari wana Jf. Niende moja kwa moja kwenye mada, Jina la Dr Ryoba ni maarufu sana hapa Tanzania lakini umaarufu wake ni wa hovyo na unazidi kuwa wa hovyo pamoja na kwamba ni msomi wa kiwango cha...
8 Reactions
71 Replies
10K Views
TUSIPOSEMA LEO YA LINE ZA SIMU YATATUKUTA YA KIKOKOTOO Ni jambo jema kwa serikali kuhakikisha sheria zinatekelezwa ipasavyo lakini tu sheria hizo zikiwa ni nzuri na si kandamizi. Leo tunaomba sana...
7 Reactions
27 Replies
3K Views
Kwanini sisi tunasema saa saba(7) usiku wakati wazungu (wa magharibi) wanasema "one o'clock in the morning".... yaani muda huo huo si tunaita usiku wenzetu wanaita asubuhi! Nani sahihi zaidi...
0 Reactions
8 Replies
890 Views
Kuja jamaa humu kaja na Uzi wa kupangisha zile nyumba za NHC zilizopo magomeni usalama. hivi NHC huwa inamtarget nani kwa hiyo bei kwenye nyumba zake ??? Nini maana ya VISION NA MISSION ZA NHC...
6 Reactions
19 Replies
3K Views
Kama viwanda vyetu havitaji chuma chetu na makaa yetu tumekosea Sana. Hatuwezi kujivunia kuwa na viwanda vingi vya kutengeneza pampas na kuucha mhimili mkubwa wa viwanda duniani wa chuma na makaa...
0 Reactions
0 Replies
861 Views
Jana nilikatiza kwenye ule mtaa pendwa wenye bar za Corner bar(Ambience) na Durban night club (Kangaroo), ilikuwa ni mida ya saa sita usiku. What i saw was nothing short of a ghost town in the...
1 Reactions
40 Replies
11K Views
Mkurugenzi wa Manispaa Kigoma, Waziri husika na viongozi wengine wanaoweza kusaidia hili, fuatilieni Ofisi ya Utumishi Kgm kuna tatizo somewhere. Wafanyakazi wananyanyaswa. Wastaafu mafaili yao...
2 Reactions
15 Replies
1K Views
Kiukweli kutapeliwa hakujawahi kwepeka hata uwe mjanja uliezaliwa katikati ya mji,utatapeliwa tu aidha kwamakusudi au bahati mbaya Mimi Miaka ya nyuma, ubungo walishawahi niotea nikiwa na makusudi...
18 Reactions
268 Replies
26K Views
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa, amesema Serikali imeliteua Gereza la Kwitanga lililopo wilayani Kigoma kuwa kituo kikuu cha uzalishaji wa zao la michikichi. Hivyo ameuagiza uongozi wa gereza hilo...
1 Reactions
1 Replies
4K Views
Aisee kwa sasa kuna online comedy nyingi hapa bongo, zingine miyeyusho ila zingine wanajitahd..kwa mtazamo wangu zifuatazo ndo bora kabisa kukuondolea stress ya maisha Magumu 1.Joti 2.Oka-Martin...
3 Reactions
72 Replies
8K Views
Wadau inasikitisha sana kwa Chuo kikuu cha Dar es Salaam (UDSM)kupandisha ada ghafla kwa masters 2013. Mpaka watu wanatuma maombi ada iliyotangazwa ilikuwa Tsh 3,700,000/-kwa College of Arts and...
0 Reactions
43 Replies
8K Views
Utakuta jamaa ndani ya mwaka mzima wao wako nje ya vituo vya kazi wanapiga kazi na jamaa wa ps3 wakishirikiana na tamisemi. Hawa jamaa wako kwenye mradi wa planrep ( mfumo wa mipango na bajeti)...
4 Reactions
38 Replies
7K Views
Back
Top Bottom