Maxmax72
JF-Expert Member
- Nov 6, 2018
- 578
- 1,056
Wakuu kwema?
Wakuu nimekuja kwenu kwani kupitia jukwaa hili hakuna kinachoshindikana,kiufupi mm ni kijana wa kiume 25 niliye tiari kuanza ujasiriamali kupitia biashara.
Kwa wakazi na wenyeji wa Dodoma naombeni mnisaidie wazo la kibiashara hapo jijini,mtaji wangu ni kama million 2.
Asanteni!