kiben10
JF-Expert Member
- Apr 28, 2018
- 615
- 792
Inaendelea ilipoishia jana,,,,
Jinsi gani nilipata maambukizi ya VVU.......
Baada ya kuhukumiwa kufungwa Jela manamo tar 19 mwezi wa kwanza kwa kosa la kubambikiziwa kuwa nimemmbaka dada wa Kazi wa kibosile mmoja pale jirani ya gheto nililopanga, Basi nilipekekwa Segerea kwa hukumu ya miezi 6. Kwa kweli sikuwa na furaha karibia week mbili tangu nianze kutumikia gerezani, sasa ikawa mda wa chakula naenda kuchukua ila ni kwa kiasi kidogo tu sababu sikuwa na furaha kama nilivyowaelezea hapo juu. Ikawa kuna jamaa mmoja pembeni yangu yeye amehukumiwa kwa kosa la Bangi miaka 3 ( gunia 5), ila jamaa hakuonekana kuwa na huzuni kwa kuwepo pale. Yeye ndie nikaona anafaa kuwa kama kaka yangu kwa kipindi chote hichi ambacho nitakachokuwa pale Jela.
Sasa kumbe yule jamaa aliombwa kunilaghai mimi na Njemba mmoja wa pale Lupango. Aisee wakati niko kwa mwezi pale gerezani, usiku mmoja yule njema akaomba kubadilishina nae eneo la kulala kwani mi nilikuwa karibu na yule jamaa ambaye alinipokea mwanzo naingia kwa jela.
Mimi sikufaham nini kinaendelea kwa siku ile kuona yule jamaa ambae amejazia kila idara, ila hakuwa (Nyapara) nadhani hili jina mnajua ni nani na mwenye cheo gani. Usiku wa manane nadhani ulikuwa usiku wa saa 8 ingawa sikuwa na saa, ghafla nastuka kuona jamaa kanisogelea karibu na pale nilipolala, kwa kweli niliogopa kwa story ambazo niliwahi kuzisikia kabla sijawa mfungwa zilinifanya kuogopa zaidi, kuwa kuna mchezo mchafu wa kulawitiana kama unakuwa bwegebwege.
Ila ndugu zangu kumbe ile siku ilikuwa ni ya kimkakati wa yule Jamaa Njema na yule ambaye niliona kuwa anaweza kuwa msaada kwangu kwa kipindi chote nitakapo kuwa pale Gerezani SIO mtu mzuri. Kwani yule jamaa njemba ghalfa aliniziba mdomo kwa kutumia Shirt lake, na kunishika mikono kwa nguvu.
Kilichotokea pale sikufaham ni nini kiliendelea, ila asbh nikajikuta niko katika Hosp ya Mwananyamala....
Itaendelea tena kesho kwani nazidi kuishiwa na nguvu kwa Story hii ya ukweli ambayo najuta kwa nini nilifungwa Jela kwa Kesi ya kusingiziwa kuwa nimembaka dada wa kazi Beki3.
NB; HIKI NI KISA CHA KWELI, SIO UONGO NDUGU ZANGU WA JF