kiben10
JF-Expert Member
- Apr 28, 2018
- 616
- 789
Naombeni nitoe Ushuhuda wa Safari yangu hii ambayo niliianza juzi j5 hadi hivi leo ndio natoka hapa Dom ila WHY DODOMA KUITWA JIJI??? Nimepata shock sana wazee wa tafakuri ya JIJI sio kwamba alisema jiji amekosea ila HADHI ya jiji wote tuliowahi kutembelea majiji makubwa barani Africa tunalifahamu nini maana ya neno JIJI.
Sasa naomba niwape nilichokiona mimi pale DOM aisee hata kama wakoloni walisema pale ndio katikati ya Tz basi sawa ila sio kila katikaki ya NCHI lazima pasimikwe kuwa jiji,
Sijaona vitu hivi vinavyotambulisha JIJI
Barabara za lami za viwango?
Maghorofa mwanzo hadi katikati ya mji?
Mataa ya kuongozea magari ya kutosha?
Road reserve ya kutosha?
Pale Bungeni taa zake hazitoshi kabisa na
tena zingine haziwaki kabisaaaaa??
Maeneo ya kuingilia pale Bunge mkono wa
kushoto kutoka Dar maeneo yake ni
machafu, Nyasi zinatunza hadi Nyoka.
Vumbi na Baridi kwa kipindi hichi ni baadhi
ya mada nyongeza tu.
Naombeni nanyi mloyaona pale panapoitwa JIJI tujuzane hapa maana najua viongozi wa Serikali hapa wapo watasikia hichi kilio chetu wanaTanzania.....
kiben10 wa Zinjathropus wa History F2