Mrs Gudman
JF-Expert Member
- Jul 3, 2015
- 613
- 1,300
Heri ya pasaka wana jf natumai kila mmoja wenu anaendelea vizuri.
Leo napenda kushirikiana nanyi neno hili
Waswahili husema usichezee kazi chezea mshahara, hii ikiwa na maana kuwa chochote kinachokupa kula kuvaa na mahitaji mengine kiheshimu na kifanye kwa bidii.
Leo hii vijana wengi tunatamani tumalize chuo tupate kazi tujenge at the same time tuwe na usafiri mzuri, hata mimi ningetamani hivyo.
Lakini lazima kuwe na process flani ili kufikia pale ambapo ni ndoto ya kila mmoja kufikia, hatuwezi kutamani product wakati process ya kufikia hapo tunaipuuza.
Tuweke bidii katika chochote tufanyacho, ujaajiriwa una biashara ndogo ndugu weka bidii hapo, una fanya tempo mahali jibidishe fanya kazi kwa moyo biblia inasema hivii
29 Je! Wamwona mtu mwenye bidii katika kazi zake? Huyo atasimama mbele ya wafalme; Hatasimama mbele ya watu wasio na cheo.
Mithali 22:29
Napenda sana hapo umemuona mwenye bidii katika kazi yake MTU HUYO ATASIMAMA MBELE YA WAFALME, Alafu biblia inaendelea mbele zaidi kusema MTU MWENYE BIDII HATASIMAMA MBELE YA WATU WASIO NA CHEO.
Napata uhakika kuwa katika jitihada yeyote unayofanya kwenye kazi yako kuna siku itakuheshimisha tu.,(bidii inalipa)
Kila tariji tunae mu adimire leo alikuwa na bidii, hakuna utajiri halali unaokuja kwa mtu asiye na bidii (neno linazibitisha hilo).
Kijana mwenzangu, wanawake wenzangu tuongeze kasi katika kazi, ofisini au biashara shambani au popote tuweke bidii ipo siku matunda ya juhudi tutayala.
#HeriYaSikuYaMuungano