Meseji yenyewe ndio hii chini na namba iliyotuma hiyo meseji ni hiii +255743956500
QXBJKA3KL Tatu mzuka Hongera namba yako imeibuka mshindi wa milioni 8 kwenye JACKPOT iliyochezeshwa tarehe...
Habari!
Kuna watu wanadhani watoto Wa siku hizi wana viburi la hasha!
Ukweli ni kwamba hiki ni kizazi dhaifu kinachochangiwa na mambo mengi sana ya tabia ya nchi!.
Wapo watu wanaodhani Ulegevu...
Hivi sababu hasa ya hii foleni kubwa namna hii mpaka usiku wa saa saba kwenye barabara ya morogoro kipande cha kuanzia kimara mpaka Mbezi ni nini????
wahusika mmeshindwa kabisa kutatua hii kero???
Habar wakuu !! Kama kichwa cha habar hapo juu
Leo nipo hpa jijini mwanza so sitopenda niwe so bored kwa ugeni wangu kwaiyo naomba mabinti , anaweza kujitolea mmoja tukatoka out kidg kupata foods...
Mamlaka za hali ya hewa za Msumbiji zinatahadharisha kuwa kimbunga kipya cha kitropic kinajiunda katika bahari ya Hindi. Mamlaka zinasema endapo kimbunga hicho kitakuwa kitaitwa Kenneth na...
Kwa jana nilikuwa miongoni mwa abilia tulio safiri na gari aina ya Kisbo, hii kwa mara ya kwanza hii gar ilikuwa na kakondakita kana majibu ya ajabu,kuna dreva kijana mwembamba yeye alitupokea...
Wakuu ningepata uelewa wa haya mambo kuhusu hii teknolojia ya kupasha habari kwa kutumia hizi online TV,pamoja na hayo pia nahitaji kujua faida inayopatikana kutokana na huduma hizi pia faida...
Huyu babu anayejiita kamanda wa Dodoma anayetoa haya matamshi ya ajabu ajabu ya kupiga na kuchakaza watanzania anapata wapi hayo mamlaka?
KATIBA ambayo ndiyo sheria mama ya sheria zote zingine...
Serekali ya kibabe ambayo inafahamu kwamba siasa ni maisha ya watu ambano wanafungama kiitikadi kama yalivyo madhehebu ya dini. Serekali ya CCM na mipango ya mauwaji ya hailaiki au kuchakaza wale...
Na Bakari Chijumba, Mtwara.
Kufuatia Mamlaka ya Hali ya hewa Tanzania(TMA),kutoa angalizo la uwezekano wa kutokea Kimbunga katika pwani ya kusini mwa Tanzania kesho Alhamisi 25/04/2019, Mkuu wa...
Wakuu namsikiliza hapa huyu bwana anasisitiza wasanii wasiimbe mapenzi bali mafanikio tunayoyapata kama Nchi sasa swali langu ni je anatambua maana halisi ya burudani ya mziki na kauli ya mziki ni...
Mi ni tecno user na siyo kwamba sijawahi kumiliki samsung hapana ila ilinichosha kutokana na kutaka kunigeuza kuwa teja wa kwenye soketi ya umeme.
Toka nimeanza kutumia tecno hizo changamoto...
wanaitwa GREAT CORMORANT
Hawa ni ndege wanaopatikana sana bara la Amerca pamoja na Asia ila naamni bongo watakuwepo kitaalam wanaitwa "phalacrocorax carbo"
kwa hapa Tanzania wanaitwa NSOJU wako...
Wakuu habari za asubuhi?
Kwa wale wenzangu na mimi tunaotumia line mbili mbili bila shaka kuna tofauti tunaiona tunapotumia line ya vodacom na mitandao mingine. Binafsi mie kwa upande wa vodacom...
*RIPOTI YA IMF 2019: TANZANIA IMEENDELEA KUWA NA UCHUMI IMARA NA KUWA NA KIWANGO CHA JUU CHA UKUAJI KWA WASTANI WA ASILIMIA 6.5 KWA MWAKA KWA MUDA MREFU*
Tofauti na maneno mengi ambayo yanaelezwa...
UMOJA WA WAANDISHI WA HABARI WALIOKUWA WAFANYAKAZI WA SAHARA MEDIA GROUP (STARTV) MWANZA
MH. RAIS WA JAMHURI YA MUUNGANO WATANZANIA
DARES SALAAM
TANZANIA
YAH: MHESHIMIWA RAIS TUSAIDIE ANTHONY...
Wakazi zaidi ya 700,000 wa Majohe na vitongoji vyake jijini Dar es Salaam wanatarajia kupatiwa majiSafi na Salama ifikapo mwishoni mwa mwezi Aprili 2019.
Serikali kuwajengea Tanki la Maji lenye...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.