Wakuu habari za leo
Ninatarajia kuanzia safari siku ya jumanne ya tarehe 30 mwezi huu kutokea hapa Dar majila ya SAA tatu asubuhi na gari private aina ya Rav4 new model nitaenda hadi mafinga...
Nasikia tuu ccccmmm hoyeee jukwaaani na kuongelea mambo ambayo alikuwa ameahidi na kuya fanya na kutambulisha baadhi ya wateule wake jukwaani kuongea na kutambulishana je hii ina tofauti gani na...
Tanzania tuna graduates na wasomi wengi wa hovyo sana sijapata kuona.
Mtu anakomaa mtandaoni you tube, insta , tweeter, Badoo , Facebook, WhatsApp , SayHi na mengineyo kuangalia mambo ya hovyo...
Leo nilikuwa nafatilia moja ya kituo cha television huko marekani tajiri nambari moja duniani Bilionea Bill Gates aliulizwa na mwandishi mmoja wa habari kuwa anajisikiaje kuwa tajiri mkubwa zaidi...
Vibaka wanaokadiriwa kufika 28 wwalikamatwa jana kwa uhalifu na uporaji wa simu za watu kawe beach
Vijana hao wakitokea manzese walikodi coaster ambayo ilikaa kwa mbali ikiwasubiri
Wwalipoana...
1. Lala muda wa kutosha usiopungua saa 8;
"Huenda likaonekana kuwa jambo la ujinga, lakini tunajua kwamba kulala kwa muda zaidi na usingizi mzuri kunapunguza nafasi ya wewe kuugua msongo wa mawazo...
"Baada ya kujikuta nimeamkia mwananyamala basi , ndipo nilipojiuliza hapa nimefikaje na je nani kanifikisha hapa" nilipata kuendelea vzr kidogo kidogo kwani ari haikuwa vzr sana. Kucheki pembeni...
Habari za asubuhi wanajamii,
Mh Benn kwanza nakupa pole kwa majukumu ya ujenzi wa taifa,ila kuna kero moja ambayo ipo katika moja
ya Check Points zako za Transit, napenda kua speaker kwa wahanga...
Salaam!
Wakubwa poleni na majukumu ya kutafuta mkate wa kila siku,bila kuwachosha acha niende moja kwa moja kwenye mada.
Wakuu watanzani wengi tunapenda kufahamu makadirio ya nauli ya route...
Juzi hapa Dar mabweni ya Shule ya Atlas huko Mivumoni Madale yameteketea kwa moto...sio tukio LA kwanza kwa kila nyumba inayopata janga LA moto hapa Dar mbali na Mjini ifanikiwe kuokolewa zaidi ya...
Maelfu ya watu wameondolewa na kupelekwa katika maeneo mengine nchini Msumbiji huku kimbunga Kenneth chenye nguvu kikiwasili katika eneo la kadskazini ya Msumbiji.
Kimbunga hicho kilikuwa na...
Tujadili hili swala LA kusajiki upya line jee muwalio toa utatosha kweli miningependa selikari wange Fanya kama walivyo Fanya zoezi LA kujiandikisha kwenyedaftari LA kudula kula nahivi...
Mwanzoni ilikuwa buku 2 unapata 1.2gb na muda wa maongezi kibao na sms 1500 juu kwa muda wa siku 7 ila kuanzia juzi wamepandisha eti 1500 1gb na muda maongezi na sms kwa siku 3 tuu na 5000 3gb na...
Kama kuna tamthilia nimetokea kuichukia basi ni tamthilia ya Sultan. Watu wa tatu wamenifanya niishie hapa maana matendo yao ni zaidi ya kuwa wanyama. Kwanza hullem, pili wazari mkuu wa sasa Pasha...
Kangaroo ni mnyama mwenye ufanano wa sura kwa mbali na sungura, wanyama hawa huwa na miguu mifupi sana ya mbele, kiasi cha kumfanya hata akimbiapo kutumia miguu miwili ya nyuma huku mkia wake...
Hellow watu wa Mungu, salam..
TCRA wamenishangaza sana, wanataka alama za vidole kwa kila mmiliki wa line ya simu.. Nimejiuliza maswali mengi mno sijapata jibu sababu sioni sababu yoyote ya...
Wakuu habari za mida hii!!
Huku nilipo kuna shida kubwa ya maji, visima ni virefu sana kwenda chini na vipo mbali mbali sana. Nimekua nikifikilia jinsi gani naweza kurahisisha utekaji maji toka...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.