Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

JF Prefixes:

Kumetokea ajali leo Dodoma maeneo ya mirembe kwa gari aina ya Hilux ikiwa inaendeshwa na mwalimu wa cbe dodoma mr Msuta na kugonga treni mwalimu uyo amefariki usiku huu katika hospital ya general...
0 Reactions
6 Replies
3K Views
Ukiona mpenzi wako kapanda boti na kuvuka chumbe bila ya kujitupa baharini ujue hakupendi. Usiku mwema
0 Reactions
0 Replies
1K Views
HAMU 3 ZA MSAFIRI YEYOTE NI: 1.Kuingia ndani ya chombo 2. Kuanza safari 3. Kufika aendako na kushuka Hamu ya kuingia chomboni huwa kubwa pale anaposubiri kwa muda kabla chombo hakijafika. Huwa...
0 Reactions
5 Replies
739 Views
Kesi inayomkabili Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya Jamii Media, Maxence Melo ya Kuzuia upelelezi iliyokuwa isikilizwe Jumatatu hii katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu jijini Dar es Salaam...
1 Reactions
1 Replies
1K Views
Wakuu habari za Jumapili, Nimeona nipaze sauti yangu kwa hili linalosumbua akili yangu kwa siku ya nne. Naogopa kuja kutumia neno (NILIJUA) ajali zitakapo tokea, katika hili wahenga walisema...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Wakuu mimi najiuliza wale haki za binadamu wako wapi unakuta selo za vituo vya polisi vidirisha vidogo viko juu sana alafu mlango umesilibwa bati hata mtuhumiwa akisimama aoni nje pia hewa nzito...
1 Reactions
2 Replies
648 Views
  • Redirect
Habari za jion, naomba kujua jinsi ya kulipia huduma online, especially kama kama service yenyewe iko china,.marekani nk.... Nimejaribu kutumia card zangu za benki ila zinakataa
0 Reactions
Replies
Views
Nimemis sauti ya kijana, jamani mwimbo wake upi unahit kwa sasa ambao upo wasafi.com???
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Kunahaja ya kuhama #usinipangie
0 Reactions
15 Replies
1K Views
  • Redirect
Maneno aliyo andika staa wa muziki bongo anaetamba na kibao chake machachari cha #WAPO yanatia hofu na wasiwasi juu ya usalama wake! Vyombo vya ulinzi na usalama vinapaswa kumuita kwa mahojiano...
0 Reactions
Replies
Views
Nilikua nafatilia passport kule uhamiaji lakini wakaniagiza vyeti vya kuzaliwa vya wazazi wangu na kama hawana nipeleke affidavit zao sasa kikwazo hapa ni kuwa mzazi mmoja alifariki je nitafanyaje?
1 Reactions
3 Replies
927 Views
Habari za mida hii wakubwa na wadogo zangu, Ni miaka takribani 8 sasa toka linitokee hili swala. Ilikuwa ni majira ya jioni siku ya Jumamosi. Nikitoka kimatembezi na rafiki yangu ili kunyoosha...
1 Reactions
57 Replies
8K Views
Jaman kuna mtu yeyote anamfahau specialist wa wanawake hospital ya tumbi kibaha
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Nimeona leo niandike maoni yangu kuhusu wengi wa watangazaji wa ITV. Kuna jambo linaloipa TV hii kiburi kwa kuwa kuna mtu kawaita superbrand, yaani unakuwa the best amongst the worse. Wote tunajua...
5 Reactions
45 Replies
9K Views
Hili swala linazidi kuwa nzito kila siku. Polisi badala ya kufanya kazi za kulinda Amani, unawakuta wamejimwaga kwenye barabara yetu na EFD machine wanakuja wanakusanya mapato na sehemu zingine...
1 Reactions
17 Replies
2K Views
Waziri huyu wa michezo alishangilia hadi basi Serengeti Boys ilipotoa Draw ya 2-2 na u-17 ya Ghana baada ya kutoka nyuma kwa 2-0 na kusawazisha dakika za mwisho
0 Reactions
1 Replies
857 Views
Nimeona kwenye taarifa ya habari ITV kuwa Reginald Mengi amechangia ujenzi wa kitua cha afya huko Mbeya shilingi milioni 25. Najiuliza huyu mzee ana moyo wa aina gani, au dini yake ndio imemjenga...
18 Reactions
182 Replies
14K Views
Hivi ununuzi wa ndege mbili aina ya Bombadier ulifanywa kwa kutumia utaratibu wa kutangaza tender? Ununuzi wa ndege tatu/nne zilizobaki nao utafanywa bila tender kutangazwa? Manunuzi ya umma...
8 Reactions
95 Replies
7K Views
*TAADHARI* Kuna mtindo mpya wa wizi umevamia jiji la Dar. Katika sherehe ya harusi ikiwa inaendelea majambazi uja na kuongea na MC wa harusi kuwa kuna gari namba fulani fulani nje ya ukumbi...
6 Reactions
5 Replies
1K Views
Back
Top Bottom