K kelvinking New Member Apr 2, 2017 1 0 Apr 3, 2017 #1 Jaman kuna mtu yeyote anamfahau specialist wa wanawake hospital ya tumbi kibaha
B Bayyo JF-Expert Member Apr 2, 2012 1,820 2,915 Apr 3, 2017 #2 kuwa specific ni tatizo gani kwa wanawake?
B Bayyo JF-Expert Member Apr 2, 2012 1,820 2,915 Apr 3, 2017 #3 au una maana gani, make kuna specialists wa aina kibao kwa wanawake
Rais2020 JF-Expert Member Jul 14, 2016 3,248 5,537 Apr 3, 2017 #4 Subiri wenyeji waje watakupa majibu.
Mr.Junior JF-Expert Member Sep 8, 2013 11,966 10,336 Apr 3, 2017 #5 Hii ungepeleka jukwaa la matabibu kule wangekusaidia haraka sana.