Uchawi uliniponza

Rais2020

JF-Expert Member
Jul 14, 2016
3,248
5,537
Habari za mida hii wakubwa na wadogo zangu,

Ni miaka takribani 8 sasa toka linitokee hili swala. Ilikuwa ni majira ya jioni siku ya Jumamosi. Nikitoka kimatembezi na rafiki yangu ili kunyoosha miguu na kuangalia mazingira. Kumbe rafiki yangu alikuwa ni mchawi anayechipukia na alikuwa ana miezi mitatu toka aanze kujifunza uchawi. Bahati nzuri wakati nimemuangalia macho yake niliona kila kitu juu ya kile alichokuwa anakifanya nyakati za usiku. Nilipomgundua tabia yake nilianza kukaa naye karibu ili anipe ujuzi wake wa kichawi. Kwa kuwa nilikuwa najua tu ulozi wa kutumia radi na usafiri wa fisi basi ilikuwa faraja sana kumpata huyu rafiki yangu. Hakika huyu jamaa alijifunza uchawi adimu sana wa kutumia usafiri wa mkuki na ulozi wa kutumia joka lenye vichwa vitatu.

Jamaa hakuwa mchoyo maana nilikuwa tayari nimevutiwa naye sana. Kuna siku jamaa tulisafiri naye kutoka Misungwi kuelekea Sengerema kwa ajili ya shughuli maalamu ambapo tulitumia usafiri wangu wa fisi ambao ulituchukua dk 10 kufika eneo la tukio. Wakati tunarudi kutoka sengerema kuelekea misungwi jamaa waliamu kunipitisha njia isiyo rasmi hali ambayo ilipelekea kupoteza mwelekeo ambapo nilijikuta nipo pekee yangu na fisi wangu.

Nikiwa nimepoteza mwelekeo ilinibidi kuchukua uamuzi wa kutoka kivyangu ili nifike kwangu kwa njia yoyote ile. Lakini gafla nikiwa safari nilipata ajali baada ya wachawi wenye asili ya Kigoma na Kikongo kunigonga. Kiukweli ilinichuka muda sana kupata fahamu na baada ya fahamu kunijia usafiri wangu haukuonekana. Hali hii ilinifanya kukamatwa na hawa wachawi wa Kigoma walionizidi uwezo.

Hawa wachawi wa kigoma walinipeleka kwenye kambi yao kwa ajili ya kunitoa sadaka. Walinipeleka kwa Kiongozi wao mnywa damu. Nilipofikishwa tu mizimu ya babu yangu ilinijia kwa nguvu sana na kuwashinda wote na wachache walipoteza maisha.

Nikiwa kwenye kambi yao niliweza kumchukua mmoja ya wafuasi wao na kumtoa damu zote mpaka kifo. Nilichomoa mfupa wake wa kidole GUMBA. Huu mfupa ndiyo ulinifikisha mahala pangu.

Nilipofika tu mahala pangu niliishiwa nguvu na kujikuta misukule na fisi waliokuwa kwenye ghala langu wanakimbia wote. Baada week Moja nilijiwa na nguvu za ajabu sana ambazo zinanitesa mpaka Leo. Hizi nguvu zinanifanya kutamani nyama za fisi na kunipa uwezo wa kuota dawa mbaya za kienyeji zenye uwezo wa kutoa uhai wa kiumbe chochote na kumalizana na wabaya wangu.

Naomba mwenye kujua jinsi ya kuondoa uchawi wa mtu tuwasiliane au anipe ushauri ili niondokane na hii Hali.

UCHAWI UNANIPONZA. NIMECHOKA NA UCHAWI.

Ni mimi Rais2020.
 
Habari za mida hii wakubwa na wadogo zangu.
Ni miaka takribani 8 sasa toka linitokee hili swala. Ilikuwa ni majira ya jioni siku ya jumamosi. Nikitoka kimatembezi na rafiki yangu ili kunyoosha miguu na kuangalia mazingira. Kumbe rafiki yangu alikuwa ni mchawi anayechipukia na alikuwa ana miezi mitatu toka aanze kujifunza uchawi. Bahati nzuri wakati nimemuangalia macho yake niliona kila kitu juu ya kile alichokuwa anakifanya nyakati za usiku. Nilipomgundua tabia yake nilianza kukaa naye karibu ili anipe ujuze wake wa kichawi. Kwa kuwa nilikuwa najua tu ulozi wa kutumia radi na usafiri wa fisi basi ilikuwa faraja sana kumpata huyu rafiki yangu. Hakika huyu jamaa alijifunza uchawi adimu sana wa kutumia usafiri wa mkuki na ulozi wa kutumia joka lenye vichwa vitatu.

Jamaa hakuwa mchoyo maana nilikuwa tayari nimevutiwa naye sana. Kuna siku jamaa tulisafiri naye kutoka misungwi kuelekea sengerema kwa ajili ya shughuli maalamu ambapo tulitumia usafiri wangu wa fisi ambao ulitychukua dk 10 kufika eneo la tukio. Wakati tunarudi kutoka sengerema kuelekea misungwi jamaa waliamu kunipitisha njia isiyo rasmi hali ambayo ilipelekea kupoteza mwelekeo ambapo nilijikuta nipo pekee yangu na fisi Wangu.

Nikiwa nimepoteza mwelekeo ilinibidi kuchukua uamuzi wa kutoka kivyangu ili nifike kwangu kwa njia yoyote ile. Lakini gafla nikiwa safari nilipata ajali baada ya wachawi wenye asili ya kigoma na kikongo kunigonga. Kiukweli ilinichuka muda sana kupata fahamu na baada ya fahamu kunijia Usafiri wangu haukuonekana. Hali hii ilinifanya kukamatwa na hawa wachawi wa kigoma walionizidi uwezo .

Hawa wachawi wa kigoma walinipeleka kwenye kambi yao kwa ajili ya kunitoa sadaka. Walinipeleka kwa Kiongozi wao munywa damu. Nilipofikishwa tu mizimu ya babu yangu ilinijia kwa nguvu sana na kuwashinda wote na wachache walipoteza maisha.

Nikiwa kwenye kambi yao niliweza kumchukua mmoja ya wafuasi wao na kumtoa damu zote mpaka kifo. Nilichomoa mfupa wake wa kidole GUMBA . huu mfupa ndiyo ulinifisha mahala pangu.

Nilipofika tu mahala pangu niliishiwa nguvu na kujikuta misukule na fisi waliokuwa kwenye ghala langu wanakimbia wote. Baada week Moja niliijiwa na nguvu za ajabu sana ambazo zinanitesa mpaka Leo. Hizi nguvu zinanifanya kutamani nyama za fisi na kunipa uwezo wa kuota dawa mbaya za kienyeji zenye uwezo wa kutoa uhai wa kiumbe chochote na kumalizana na wabaya Wangu.

Naomba mwenye kujua jinsi ya kuondoa uchawi wa mtu tuwasiliane au anipe ushauri ili niondokane na hii Hali. UCHAWI UNANIPONZA. NIMECHOKA NA UCHAWI.
Ni mimi Rais2020.
kama wewe mchawi embu niangalie kwenye kifaa chako cha uchawi halafu niambie nipo wapi na nafanya nini.
 
Mmmmmmmh pole na hongera pia...
 
kama wewe mchawi embu niangalie kwenye kifaa chako cha uchawi halafu niambie nipo wapi na nafanya nini.
Sawa mkuu. sharti ni moja tu. Nikibahatika kukuambia ulipo unatakiwa kunilipa pesa. Kama huwezi kunilipa pesa baada ya kukwambia fuatilia Uzi Wangu wa "nimeamua kuwekeza kwenye uchawi na uganga" utapata adhabu yake
 
Jama muongooo huyuuu khaaaaaa
 
Li story la uongo et ulipomuangalia kwenye macho ukajua kua ni mchawi halafu ukaendelea kukkaa nae et akufundishe uchaw. Sasa ulimjuaje kua i mchaw kama ww sio mchaw. Halafu unafundishwa uchaw na mtu anaejifunza. Mbaya zaid ulikua na fisi wako kabla hujawa mchaw. Shkamoo
 
Rais2020 mm naomba nikuulize kuna manufaa gani mnayapata kwenye shughuli zenu za uchawi?
Je,nyinyi wachawi kiboko yenu ni nani kwamaana mkisikia jina au ukui wake kazi zenu zinashindwa
Tafadhali naomba jibu
 
Habari za mida hii wakubwa na wadogo zangu,

Ni miaka takribani 8 sasa toka linitokee hili swala. Ilikuwa ni majira ya jioni siku ya Jumamosi. Nikitoka kimatembezi na rafiki yangu ili kunyoosha miguu na kuangalia mazingira. Kumbe rafiki yangu alikuwa ni mchawi anayechipukia na alikuwa ana miezi mitatu toka aanze kujifunza uchawi. Bahati nzuri wakati nimemuangalia macho yake niliona kila kitu juu ya kile alichokuwa anakifanya nyakati za usiku. Nilipomgundua tabia yake nilianza kukaa naye karibu ili anipe ujuzi wake wa kichawi. Kwa kuwa nilikuwa najua tu ulozi wa kutumia radi na usafiri wa fisi basi ilikuwa faraja sana kumpata huyu rafiki yangu. Hakika huyu jamaa alijifunza uchawi adimu sana wa kutumia usafiri wa mkuki na ulozi wa kutumia joka lenye vichwa vitatu.

Jamaa hakuwa mchoyo maana nilikuwa tayari nimevutiwa naye sana. Kuna siku jamaa tulisafiri naye kutoka Misungwi kuelekea Sengerema kwa ajili ya shughuli maalamu ambapo tulitumia usafiri wangu wa fisi ambao ulituchukua dk 10 kufika eneo la tukio. Wakati tunarudi kutoka sengerema kuelekea misungwi jamaa waliamu kunipitisha njia isiyo rasmi hali ambayo ilipelekea kupoteza mwelekeo ambapo nilijikuta nipo pekee yangu na fisi wangu.

Nikiwa nimepoteza mwelekeo ilinibidi kuchukua uamuzi wa kutoka kivyangu ili nifike kwangu kwa njia yoyote ile. Lakini gafla nikiwa safari nilipata ajali baada ya wachawi wenye asili ya Kigoma na Kikongo kunigonga. Kiukweli ilinichuka muda sana kupata fahamu na baada ya fahamu kunijia usafiri wangu haukuonekana. Hali hii ilinifanya kukamatwa na hawa wachawi wa Kigoma walionizidi uwezo.

Hawa wachawi wa kigoma walinipeleka kwenye kambi yao kwa ajili ya kunitoa sadaka. Walinipeleka kwa Kiongozi wao mnywa damu. Nilipofikishwa tu mizimu ya babu yangu ilinijia kwa nguvu sana na kuwashinda wote na wachache walipoteza maisha.

Nikiwa kwenye kambi yao niliweza kumchukua mmoja ya wafuasi wao na kumtoa damu zote mpaka kifo. Nilichomoa mfupa wake wa kidole GUMBA. Huu mfupa ndiyo ulinifikisha mahala pangu.

Nilipofika tu mahala pangu niliishiwa nguvu na kujikuta misukule na fisi waliokuwa kwenye ghala langu wanakimbia wote. Baada week Moja nilijiwa na nguvu za ajabu sana ambazo zinanitesa mpaka Leo. Hizi nguvu zinanifanya kutamani nyama za fisi na kunipa uwezo wa kuota dawa mbaya za kienyeji zenye uwezo wa kutoa uhai wa kiumbe chochote na kumalizana na wabaya wangu.

Naomba mwenye kujua jinsi ya kuondoa uchawi wa mtu tuwasiliane au anipe ushauri ili niondokane na hii Hali.

UCHAWI UNANIPONZA. NIMECHOKA NA UCHAWI.

Ni mimi Rais2020.
Muamini na kumkabidhi Yesu maisha yako,uchawi wako hauna ujanja mbele ya jina la Yesu!
 
Li story la uongo et ulipomuangalia kwenye macho ukajua kua ni mchawi halafu ukaendelea kukkaa nae et akufundishe uchaw. Sasa ulimjuaje kua i mchaw kama ww sio mchaw. Halafu unafundishwa uchaw na mtu anaejifunza. Mbaya zaid ulikua na fisi wako kabla hujawa mchaw. Shkamoo
Uchawi unatofautiana kikanda na kikoo.
 
Washirikina watakaa Motoni milele,,,ila hujachelewa kumrejea Mola wako..yan wew unahitaji ruqya moja matata sana,kwanza hayo mazimwi yte ulionayo inabdi yaunguzwe na Quran..
Tubu kwa Mola wako toba ya kweli na uache kuwanga..
Afu wachawi mnachelewagwa kufa kama nn...
 
Tafuta Uzi unasema hivi: nimeamua kuwekeza kwenye uchawi na uganga". Ukiusoma uje tena hapa

Nenda kiberege wilaya ya kilombero km unaenda Ifakara. Kuna mtu anaitwa kalembwani anawasaidia watu km wewe.
 
Back
Top Bottom