Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

JF Prefixes:

  • Redirect
Askofu Mkuu wa kanisa la Anglikana Tanzania,Dk Chimeledya amesema kwamba leo ndo mwisho wa aliyekuwa askofu mkuu wa jimbo la Dsm Dk Valentino Mokiwa kulitumikia kanisa hilo. Kuanzia leo si...
0 Reactions
Replies
Views
  • Redirect
Jamani Wazee wa Efatha leo kaka gwaji analipi kweny current ishuz
0 Reactions
Replies
Views
Mambo muhimu kama vile Bunge havioneshwi lakn kikao cha chama tu kila sehemu live, nchi nzima sio ccm bwana wengne hatna chama ni watanzania na sio wafuasi wa siasa, hivyo mwatukera! Samahan...
1 Reactions
22 Replies
2K Views
Ukilinganisha maambukizi ya ya Ukosefu wa Kinga Mwilini(UKIMWI),kati ya nchi za mashariki ya kati na Afrika iliyo kusini mwa jangwa la Sahara ya 5%,kuna utofauti mkubwa sana.Kwa nini tusifuate...
0 Reactions
0 Replies
651 Views
MASANJA MKANDAMIZAJI AKILI YAKO UTAJIRI WAKO: Laki tano, Mshahara wa Ma-Teller wa Benki hapa mjini Laki Tano, Bei ya TECNO PHANTOM mpya kabisa kwa kujishau Snapchat na Istagram Laki Tano, Bajeti...
1 Reactions
6 Replies
1K Views
KUFUNGWA barabara kwa ajili ya kuhamisha Daraja la Chuma (MABEY BRIDGE) na kuliweka kwenye barabara ya muda (DIVERSION ROAD) katika Daraja la Mlalakua Barabara ya Mwai Kibaki.
1 Reactions
8 Replies
3K Views
Wanajamvi naomba kujua kama service road huwa ni one way or two ways. Leo nimesimamishwa maeneo ya kimara bucha nikiwa service road na traffic akaniambia ni kosa kutumia service road kama two...
1 Reactions
7 Replies
1K Views
Kama sikosei nimemsikia Ndugu PolePole akitamaka kwenye huu mkutano wao kuwa kuna Madiwani na Mbunge wameamua kujipeleka CCM, je anamaanisha waliokuwa Madiwani na waliokuwa Wabunge, yaani kina...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
  • Redirect
Kwa mtindo huu wa kila wiki makusanyo haya Ndege,trein za kisasa na kupanda mji wa Dar upya utawezekana.
0 Reactions
Replies
Views
  • Redirect
Jana tumeshinda bila umeme hapa mjini mpaka mida ya jioni ajabu asubuhi hii tena wameukata hii ni nini aisee mpaka Jumapili?
0 Reactions
Replies
Views
Umofia Kwenu Wana JF, Kuna kero Kubwa sana hasa kwenye viwanja vilivyopimwa vya halmashauri,Wakishauza viwanja vyao wanasahau kabisa kuwaletea miundombinu kama kurekebisha barabara,kupeleka...
0 Reactions
0 Replies
635 Views
Wanajamvi, habari zenu kwa mpigo! Kuna kitu kimenishtua leo. Nilichungulia mkutano wa CCM Dodoma na kuona Hamfrey amechangamka sana ukilingalisha na wajumbe wengine. Nikaandika polepole (kwa...
0 Reactions
1 Replies
539 Views
JUMUIYA ya Kikristo Tanzania (CCT) imetoa waraka uliojumuisha mambo mbalimbali, ikiwa ni pamoja na kuwataka viongozi kutenda haki, kutokuwa na upendeleo, kuheshimu Katiba na sheria za nchi. Pia...
15 Reactions
109 Replies
12K Views
  • Redirect
Wakuu habarini naona mtu anakua professor kwa kuvumbua kitu flank nadhani uyu Mzee angepewa u professor kavumbua kolomije kuna Vyeti feki
0 Reactions
Replies
Views
Family bonding - muunganiko wa kifamilia ni jambo jema sana! Family conflicts - migogoro ya kifamilia ni jambo baya sana... Msingi wa umoja katika ukoo huanza kwenye familia. Tuna familia na koo...
21 Reactions
200 Replies
18K Views
Kuna kijana ambae alimpiga bastola papa wa kule Roma lakini baadae yule kijana aliomba msamaha na papa akamsamehe japo bado jamaa kafungwa. Kuna jamaa alimpiga kofi mwinyi (Raisi wa 2) kipindi...
1 Reactions
3 Replies
2K Views
Naiandika tungo hii nikijua ya kuwa Ni kwa wale wana kaya kuu, walio mahiri Kabisa katika kaya iliyotukuka sana! Wenye hekima kama wendawazimu na Wenye busara kama vichaa nikijua fika ya kwamba...
3 Reactions
36 Replies
2K Views
MWALIMU wa shule ya sekondari ya St Margareth wilayani Igunga amekamatwa na boksi za pombe aina ya viroba 825 akiwa amevihifadhi katika duka lake. Kamanda wa Polisi mkoa wa Tabora, Hamisi...
1 Reactions
34 Replies
3K Views
Habari wadau, Mwenye ujuzi wa kilimo cha Dill, Basil, coriander, lettus, butternut, beetroots na leeks naomba msaada anipe maelekezo ya namna ya kulima, na mahitaji (Udongo wa hali gani na hali ya...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Back
Top Bottom