radavi
Senior Member
- Oct 17, 2014
- 179
- 54
Wakuu mimi najiuliza wale haki za binadamu wako wapi unakuta selo za vituo vya polisi vidirisha vidogo viko juu sana alafu mlango umesilibwa bati hata mtuhumiwa akisimama aoni nje pia hewa nzito na wanajazwa kupita uwezo wa chumba, mfano kituo cha kigamboni.... Nawasilisha wakuu