Msaada wa kupata passport

Prince Luanda

JF-Expert Member
Oct 17, 2016
2,191
2,689
Nilikua nafatilia passport kule uhamiaji lakini wakaniagiza vyeti vya kuzaliwa vya wazazi wangu na kama hawana nipeleke affidavit zao sasa kikwazo hapa ni kuwa mzazi mmoja alifariki je nitafanyaje?
 
Mkuu huitaji vyeti vya wazazi ili kupata hati ya kusafiria, watavihitaji tu endapo muombaji umri wake ni chini ya miaka 18. Ni muhimu kwa muombaji kuwa na cheti cha kuzaliwa.
Kama nipo above 18 sihitaji vyeti vya wazazi.
Asante ngoja nijaribu
 
Back
Top Bottom