Now days mbs za Tigo zinaishafasta

Sio tigo tu ni mitandao yote yaani ndani ya wiki nimesajili more than one line ili kucheki ipi iko sawa lakin nilichokuja gundua hakuna wenye unafuu,hili nadhani ni agizo toka mamlaka za juu a.k.a malaika
 
Weka app inayoonesha matumizi yako kwa kila MB katika simu hapo ndio utajua unaibiwa au lah...

Na pia wakati mwingine iwe ni katika simu au kompyuta huwa kuna apps zinazorun nyuma ya pazia pasipo mtu kujua...hizo nazo hula MBs kimya kimya
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom