Ajali DODOMA: Mwalimu agonga treni na kufariki

Kazitunayo

JF-Expert Member
Mar 30, 2013
3,773
3,160
Kumetokea ajali leo Dodoma maeneo ya mirembe kwa gari aina ya Hilux ikiwa inaendeshwa na mwalimu wa cbe dodoma mr Msuta na kugonga treni mwalimu uyo amefariki usiku huu katika hospital ya general dodoma alikokimbizwa kwa matibabu

.I.P mr Msuta
 
Tunashukuru kwa taarifa Mkuu ila haijakamilika ili tujue kabisa nini ilikuwa sababu kuu ya kutokea hiyo ajali iliyopelekea umauti ya huyo Mwalimu Msuta. R.I.P Kwake Mwalimu.
 
Unataka sababu ili iweje hujaelewa au u much know tuu nenda kituoni central
 
Back
Top Bottom