Tanzania Nchi Yetu Sote
JF-Expert Member
- Mar 12, 2017
- 505
- 871
HAMU 3 ZA MSAFIRI YEYOTE NI:
1.Kuingia ndani ya chombo
2. Kuanza safari
3. Kufika aendako na kushuka
Hamu ya kuingia chomboni huwa kubwa pale anaposubiri kwa muda kabla chombo hakijafika. Huwa hana imani kama kweli atasafiri.
Hamu ya kuondoka hushika kasi pale anapokuwa ndani ya chombo halafu haondoki
Hamu ya kushuka humshika pale anapoabiri kwa muda na kuanza kuichoka safari, hapo hutamani tu ashuke na kupumzika.