Mwakyembe adata na draw ya Serengeti boys

Johnny Sack

JF-Expert Member
Jan 21, 2017
8,942
19,130
Waziri huyu wa michezo alishangilia hadi basi Serengeti Boys ilipotoa Draw ya 2-2 na u-17 ya Ghana baada ya kutoka nyuma kwa 2-0 na kusawazisha dakika za mwisho
 
Hawa vijana aiseee.. Wananisahaulisha tabu za nchi hii kwa sasa...
 
Back
Top Bottom